Hii ni kwa mdau wa maendeleo tu, karibu tushikiane

Abuu Said

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2015
Posts
4,010
Reaction score
4,763
Habari za weekend wanaJF, mimi ni kijana mwenye nia ya kujiajiri na kufikia malengo ya kuwa na project kubwa hapa nchini. Nimefanikiwa kupata Stashahada ya uhandisi mitambo Taasisi ya teknologia Dar es salaam DIT mwaka 2014 baada ya hapo nikafaya kazi katika Kampuni mbalimbali kwa kujitolea ili kupata uzoefu, mpaka naandika Uzi huu nina uzoefu wa mwasuala yafuatayo:-
  • Automotive and motorcycle repair, maintenance and service
  • Metal cutting, welding and warehousing designing
  • Electrical installation, repair and maintenance
  • Cooling system works such as Air condition installation, repair and refrigeration repair and maintenance.
sasa basi kutokana na kupata ujuzi huo baada ya kufanya kazi katika vituo tofautitofati sasa nataka kujiajiri Eneo ninalo na ujuzi ninao tatizo ni mtaji wa kuanzia kazi nikaona ni bora niwashirikishe wadau wenzangu ktk kufanikisha hili.
Kwa yeyote atakae vutiwa na jambo hili naomba tuwasiliane no. 0718603278. Mi ni mkazi wa Tanga wilaya ya Pangani na eneo lipo Pangani mjini kabisa (nimeambatanisha na picha).
Nilienda kwenye taasisi zinazojishughulisha na mikopo wao wanataka uwe umeshaanzisha biashara kwamba wao hawakupi mtaji bali wanakuongezea mtaji au km kuna mtu anajua niwapi naweza kwenda na kuweza kupata mkopo wa kuanzisha biashara naomba anijulishe tafadhali. na kwa yeyote ambaye anaweza kuingiza Pesa tukashirikiana nipo tayari.
Natanguliza shukrani kwenu!
 
Attachments

  • WP_20160819_001.jpg
    WP_20160819_001.jpg
    102.8 KB · Views: 50

Nenda kwenye page ya facebook ya jakaya kikwete kuna taasis anaipromote kwamba inatoa mikopo
 
Sijawahi fika pangani ila swali rangu kwako una imani ukifungua aina hiyo ya biashara hapo pangani..biashara yako italeta matunda mema...
 
Nina imani kwa 75% italeta matunda mema kwani nimechunguza kwanza kabla ya kuchukua uamzi mkuu
 
Back
Top Bottom