Abuu Said
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 4,010
- 4,763
Habari za weekend wanaJF, mimi ni kijana mwenye nia ya kujiajiri na kufikia malengo ya kuwa na project kubwa hapa nchini. Nimefanikiwa kupata Stashahada ya uhandisi mitambo Taasisi ya teknologia Dar es salaam DIT mwaka 2014 baada ya hapo nikafaya kazi katika Kampuni mbalimbali kwa kujitolea ili kupata uzoefu, mpaka naandika Uzi huu nina uzoefu wa mwasuala yafuatayo:-
Kwa yeyote atakae vutiwa na jambo hili naomba tuwasiliane no. 0718603278. Mi ni mkazi wa Tanga wilaya ya Pangani na eneo lipo Pangani mjini kabisa (nimeambatanisha na picha).
Nilienda kwenye taasisi zinazojishughulisha na mikopo wao wanataka uwe umeshaanzisha biashara kwamba wao hawakupi mtaji bali wanakuongezea mtaji au km kuna mtu anajua niwapi naweza kwenda na kuweza kupata mkopo wa kuanzisha biashara naomba anijulishe tafadhali. na kwa yeyote ambaye anaweza kuingiza Pesa tukashirikiana nipo tayari.
Natanguliza shukrani kwenu!
- Automotive and motorcycle repair, maintenance and service
- Metal cutting, welding and warehousing designing
- Electrical installation, repair and maintenance
- Cooling system works such as Air condition installation, repair and refrigeration repair and maintenance.