Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa ulitaka akukubali hata kama ngumbaru? Halafu baadae umsumbue na inferiority complex?
mamito mbona unagawa za uso?
Unajua nyie wakaka baadhi yenu huwa mnashangaza sana! Mkiwa mnatafuta nyie mwaweka vigezo kibao, wengine utawasikia ooh mara awe na hips.....mara awe na elimu at least kuanzia level flani. Ila nyie mkiulizwa mnaona kama mmedharauliwa? Khaa!!!
kuna kinadada wengine wanakela kwel kweli mimi nakubembeleza unikubalie ombi langu alafu we unaniuliza elimu yangu inamaa mi nimekuja kukuomba kazi au? Hii ilinitokea juzi
Unajua nyie wakaka baadhi yenu huwa mnashangaza sana! Mkiwa mnatafuta nyie mwaweka vigezo kibao, wengine utawasikia ooh mara awe na hips.....mara awe na elimu at least kuanzia level flani. Ila nyie mkiulizwa mnaona kama mmedharauliwa? Khaa!!!
Unajua nyie wakaka baadhi yenu huwa mnashangaza sana! Mkiwa mnatafuta nyie mwaweka vigezo kibao, wengine utawasikia ooh mara awe na hips.....mara awe na elimu at least kuanzia level flani. Ila nyie mkiulizwa mnaona kama mmedharauliwa? Khaa!!!
Sasa ukisema nyie wakaka hapo unakosea...Sema wao maana si wote wako hivyo...Mbona nyie mkiweka vigezo vyenu sie hatusemi?
Wape Dozi yao Kipipi,
Wameweka Mfumo dume mbele.
King'asti upo mrembo? Embu come this way tuongee vizuri.mbona huyu kasema tena kwa heading? Twenzetu tukachague ramani za nyumba achana na vijana watoto hawa
Sasa ukisema nyie wakaka hapo unakosea...Sema wao maana si wote wako hivyo...Mbona nyie mkiweka vigezo vyenu sie hatusemi?
Shkamoo!
Catch it well YM! Nimeweka neno baadhi yenu. Btw, hapo mwisho......are you sure kwamba wadada wakiweka vigezo vyao hamsemi? So huyu mwenzako kafanya nini as far as alichokiandika kwenye hii thread yake kiko concerned?
Marahaba, hujambo? Pole kwa kuuguliwa na beiby!
anaangaza potential ya yeye kuishi maisha mazuri akija kua na wewe, kaa huna elimu manake huna pesa!kuna kinadada wengine wanakela kwel kweli mimi nakubembeleza unikubalie ombi langu alafu we unaniuliza elimu yangu inamaa mi nimekuja kukuomba kazi au? Hii ilinitokea juzi