hii ni kwa wadada wote

hii ni kwa wadada wote

Badu

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
407
Reaction score
106
kuna kinadada wengine wanakela kwel kweli mimi nakubembeleza unikubalie ombi langu alafu we unaniuliza elimu yangu inamaa mi nimekuja kukuomba kazi au? Hii ilinitokea juzi
 
sasa ulitaka akukubali hata kama ngumbaru? Halafu baadae umsumbue na inferiority complex?
 
Unajua nyie wakaka baadhi yenu huwa mnashangaza sana! Mkiwa mnatafuta nyie mwaweka vigezo kibao, wengine utawasikia ooh mara awe na hips.....mara awe na elimu at least kuanzia level flani. Ila nyie mkiulizwa mnaona kama mmedharauliwa? Khaa!!!

Wape Dozi yao Kipipi,
Wameweka Mfumo dume mbele.
 
anataka oa? kama si kuoa subiria darasa la saba wanamaliza week hii ila kumbuka kuna kufungwa miaka 30 au kuuliwa na wenye watoto
 
kuna kinadada wengine wanakela kwel kweli mimi nakubembeleza unikubalie ombi langu alafu we unaniuliza elimu yangu inamaa mi nimekuja kukuomba kazi au? Hii ilinitokea juzi

Kwa kukusaidia tu, unaweza usiwe na sababu za kumpenda mtu ila ukawa na uhitaji wa sababu ili uweze kuwa nae! So don't rush to the conclusion.....just take the facts and do them effective, certainly make yourself acceptable na sio kuanza kulalama huku umekabwa donge la hasira! Tatizo mnataka kila kitu kiwe mteremko tu.
 
Unajua nyie wakaka baadhi yenu huwa mnashangaza sana! Mkiwa mnatafuta nyie mwaweka vigezo kibao, wengine utawasikia ooh mara awe na hips.....mara awe na elimu at least kuanzia level flani. Ila nyie mkiulizwa mnaona kama mmedharauliwa? Khaa!!!

Shkamoo!
 
Sasa ukisema nyie wakaka hapo unakosea...Sema wao maana si wote wako hivyo...Mbona nyie mkiweka vigezo vyenu sie hatusemi?
 
Catch it well YM! Nimeweka neno baadhi yenu. Btw, hapo mwisho......are you sure kwamba wadada wakiweka vigezo vyao hamsemi? So huyu mwenzako kafanya nini as far as alichokiandika kwenye hii thread yake kiko concerned?
 
bora ww umeulizwa elimu, mwenzako niliulizwa nina kiasi gani benki?? Wakati me naunga unga pesa zenyewe kwene M-pesa
 
Catch it well YM! Nimeweka neno baadhi yenu. Btw, hapo mwisho......are you sure kwamba wadada wakiweka vigezo vyao hamsemi? So huyu mwenzako kafanya nini as far as alichokiandika kwenye hii thread yake kiko concerned?

Mhmmm!!! haya mama yaishe...mie siwezi kubishana na wewe...Kama nimekukosea nisamehe.
 
Marahaba, hujambo? Pole kwa kuuguliwa na beiby!

Ulivyo mkavu waitikia haswaa shkamoo ya mzee! Nway asante bwana nauguza!
Nakudai elfu 15 compensation for my tongue injured!
Nimejaribu kutamka jina la hicho kijiji chenu, nimekata ulimi .
 
kuna kinadada wengine wanakela kwel kweli mimi nakubembeleza unikubalie ombi langu alafu we unaniuliza elimu yangu inamaa mi nimekuja kukuomba kazi au? Hii ilinitokea juzi
anaangaza potential ya yeye kuishi maisha mazuri akija kua na wewe, kaa huna elimu manake huna pesa!
 
Back
Top Bottom