Jana kwenye Dstv chaneli ya Maisha Magic Bongo nilishuhudia movie inayoitwa 'hornet' nafikiri inarushwa kwa ufadhili wa Marekani, actors ni Wamarekani wenyewe ila imewekewa maneno ya Kiswahili.
Kwa wale mliowahi kuona au kufuatilia hii movie ni jambo gani hasa linaashiriwa kutokea huko mbeleni? hasa likihusisha viumbe au vyombo toka sayari za mbali na kipindi cha dhiki kuu na mateso ya namba 666 (great tribulations) yanayoongelewa kwenye Biblia hasa katika kitabu cha Daniel na Ufunuo?
Karibuni.