Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Kumbuka yuko zanzibar na vikifika dar haviwezi kuelea mpaka huko .Sasa hivi kitanda cha mbao kile cha kawaida ni elf 80 mpka laki na kuhusu kusafirisha haiwezi kuzidi elf 40 kwa kutumia mabas ya saratoga
Hyo 40 ni kigoma mpka dar hivyo inaweza kumtoka 40 nyingne mpka zanzbar hivyo kama kuna uwezekano angeviuza tu ili akanunua huko huko zenj kingne kizuri na bora zaidKumbuka yuko zanzibar na vikifika dar haviwezi kuelea mpaka huko .
_Jf Mtawangu.
Achana na usafiri wa kuvusha kwa meli nataka Kigoma tu Dar.Kumbuka yuko zanzibar na vikifika dar haviwezi kuelea mpaka huko .
_Jf Mtawangu.
Hapana mkuu hujanielewa,.. Vitanda Zanzibar ni ghali sana tena sana hususan vya mbao imara.Hyo 40 ni kigoma mpka dar hivyo inaweza kumtoka 40 nyingne mpka zanzbar hivyo kama kuna uwezekano angeviuza tu ili akanunua huko huko zenj kingne kizuri na bora zaid
Mkuu ni rahisi sana viuze vyote viwili nenda vingunguti chongesha kwa laki nne viwili kisha 50 vimefika zenji =450,000Hapana mkuu hujanielewa,.. Vitanda Zanzibar ni ghali sana tena sana hususan vya mbao imara.
Hapo nilitaka kwa sasa nijue bei ya huko na usafiri hadi Dar. Na pia nimefanya utafiti ni bora ununue kule na usafirishe kuliko kununua Zanziba moja kwa moja.
Mimi mahesabu yangu ni kama ifutavyo.
Tufanye kitanda kimoja laki 2 nisafirishe mpaka Zanzibar niuwe laki tatu na nusu si mbaya. Lakini kwa Zanzibar unaweza kuuziwa laki saba.
Mkuu hujanielewa,.. Ni hivi, nataka nikanunue vitanda viwili Kigoma kimoja futi 6*6 na kingine 5*6 sasa je kuna sehemu ambayo bei yake ni nzuri na mbao imara kwa upande wa Dar? Kama vipo ni wapi na bei zake pia.Mkuu ni rahisi sana viuze vyote viwili nenda vingunguti chongesha kwa laki nne viwili kisha 50 vimefika zenji =450,000
ni sawa na ukiamua kuuza vyote laki mbili +250000 kusafirisha =450,000 hapo sijaweka kadhia za usafiri ,hatari ya kuibiwa ,uzamani wa vitanda e.t.c
Wewe maelezo yako mwenyewe ndio yanachanganya wachangiaji. Sasa kama hukuuza kitanda si watu watajua unataka kukisafirisha?Mkuu hujanielewa,.. Ni hivi, nataka nikanunue vitanda viwili Kigoma kimoja futi 6*6 na kingine 5*6 sasa je kuna sehemu ambayo bei yake ni nzuri na mbao imara kwa upande wa Dar? Kama vipo ni wapi na bei zake pia.
Isipokuwa kitanda na gadoro sikuuza niliondoka navyo na bei kipindi hicho ilikua rahisi kununua kitanda na usafirishaji,... Haya nahisi kushanielewa hapo.Wewe maelezo yako mwenyewe ndio yanachanganya wachangiaji. Sasa kama hukuuza kitanda si watu watajua unataka kukisafirisha?
......... Kwa bahati nzuri kipindi nahama niliuza vitu vyangu vyote vya ndani ispokua kitanda na godoro tu....
Mkuu yaani kitanda tu mpaka Kigoma??Kipindi hicho ulinunua Kigoma kwa kuwa ndiko ulipokuwa unaishi but miti pori ipo sehemu nyingi tu na bei inategemea na Design na mbao unazotaka kutumia.Km ungekuwa na sample itume nikutafutie jibu kesho lisilokuwa la kukisia.Habari za majukumu mwambie na wadogo..
Niliwahi kuishi Kigoma karibia miaka miwili,.. Kwa bahati nzuri kipindi nahama niliuza vitu vyangu vyote vya ndani ispokua kitanda na godoro tu.
Lakini kipindi hicho ilikua kusafirisha kwa treni ilikua afadhali kidogo, sasa nisiwachochoshe sana, ishu ni kwamba nataka kuagiza vitanda viwili, kimoja 6*6 na kingine 5*6 je mpaka kufikisha Dar gharama itakua bei gani?
Bila kusahau bei zake kwasasa vinapatikana bei gani? Kipindi hicho nilinunua kwa 140,000/= 5*6 sasa kwa sasa kimefikia bei gani?
Nataka kufanya hivi kwakuwa Zanzibar vitu vya mbao ni ghali sana na pia uimara ni mdogo. Naomba kujuzwa tafadhali.
Sasa mkuu nataka kujua bei ya kitanda cha 6 kwa 6 mnauzaje huko kwasasa.Kigoma miti yake inachembe chembe ya uasili wa congo hivyo basi naweza kuwathibitishia wana Jf kuwa kama unataka miti ambayo nimigumu kwa ajiri ya kuchongo vitu vya samani(vitu vya ndani) njoo kigoma.
Rafiki kigoma nako kumetofautiana maana ukiingia kigoma town kabisa ni 200,000/= but ukija huku wilayani ni 150000/ 135000. Hivyo basi ukitaka kwa usafiri wa mabasi bora ukaja huku wilaya inayosifika sana kwa maendeleo kuliko wilaya zote za kigomaSasa mkuu nataka kujua bei ya kitanda cha 6 kwa 6 mnauzaje huko kwasasa.
Soma story yake mpaka mwisho ungemuelewa. Ile ilikuwa ni intro tu. Katikati akaeleza maudhui ya uzi wake.Wewe maelezo yako mwenyewe ndio yanachanganya wachangiaji. Sasa kama hukuuza kitanda si watu watajua unataka kukisafirisha?
......... Kwa bahati nzuri kipindi nahama niliuza vitu vyangu vyote vya ndani ispokua kitanda na godoro tu....
Mkuu si bora kununua mjini na kuondoka nacho kuliko kuja huko vichochoroni ambako sina uhakika wa usafiri?Rafiki kigoma nako kumetofautiana maana ukiingia kigoma town kabisa ni 200,000/= but ukija huku wilayani ni 150000/ 135000. Hivyo basi ukitaka kwa usafiri wa mabasi bora ukaja huku wilaya inayosifika sana kwa maendeleo kuliko wilaya zote za kigoma
Valentina
sio vichochoroni kiongozi kuna standi kubwa kuliko hata ile ya kigoma mjini. Kama unaijua Wilaya ya Kasulu, basi ulizia mabasi ya mikoani huwa nimengi kuliko hata yaliyoko Kigoma mjini tofauti tu hakuna reli.Mkuu si bora kununua mjini na kuondoka nacho kuliko kuja huko vichochoroni ambako sina uhakika wa usafiri?
Em nifafanulie vyema nijue.
Kasulu napajua mkuu, usije kushangaa nilietembea nae ni dem wako kwasasa kipindi nipo JKT Bulombora hahahaha maana ni wa huko huko Kasulu.sio vichochoroni kiongozi kuna standi kubwa kuliko hata ile ya kigoma mjini. Kama unaijua Wilaya ya Kasulu, basi ulizia mabasi ya mikoani huwa nimengi kuliko hata yaliyoko Kigoma mjini tofauti tu hakuna reli.