Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Habari za majukumu wakubwa na wadogo..
Niliwahi kuishi Kigoma karibia miaka miwili,.. Kwa bahati nzuri kipindi nahama niliuza vitu vyangu vyote vya ndani ispokua kitanda na godoro tu.
Lakini kipindi hicho ilikua kusafirisha kwa treni ilikua afadhali kidogo, sasa nisiwachochoshe sana, ishu ni kwamba nataka kuagiza vitanda viwili, kimoja 6*6 na kingine 5*6 je mpaka kufikisha Dar gharama itakua bei gani?
Bila kusahau bei zake kwasasa vinapatikana bei gani? Kipindi hicho nilinunua kwa 140,000/= 5*6 sasa kwa sasa kimefikia bei gani?
Nataka kufanya hivi kwakuwa Zanzibar vitu vya mbao ni ghali sana na pia uimara ni mdogo. Naomba kujuzwa tafadhali.