Hii ni kwa wanandoa tu!!!!!!!!!.

kama amekubali kuolewa analala chupi ya nini? ndio maana unasema lazima uanze kumuomba mpaka umvue saangapi tumia shuka moja kujifunika kama utalipia nauli tena

Inahuuuuuuu?
 

ww unaomba kama unataka msaada kwa mtu, halafu kwani hamjazoeana wakati wa u boyfriend/girlfriend? au mlikutana tuu mkaoana kwa hiyo sasa ndo mnaangaliana tabia?
 
Inawezekana kua mwenzio ana aibu kusema sasa anakujulisha kwa vitendo na wewe hushiki mita,jaribu kumfanya ajisikie huru kwako mwambie asione soo kwenye uwanja wa Hubaa aseme akijisikia akupe ukijisikia mwambia akujulishe japo kwa ishara kama anaona tabu kutamka.
 

Hata mkeo anatakiwa na yeye akuombe, sio wewe tu kumuomba kila siku, biblia inasema mwanamume hana haki juu ya mwili wake bali mkewe vivyo hivyo mwanamke hana haki juu ya mwili wake bali mumewe. Inaonekana wewe umemzoesha kama unaweza kuuchuna kwa siku kadhaa hebu uchune tu usimwambie kitu uone atareact vipi.
 
ha haaaaaaaaaaaaaaaaa, kuombana....................... mi sijui kama kuna kuombana. ikibidi kuomba basi ataomba ambaye amehitaji kwa muda huo, haijalishi ni nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…