Hii ni kwa Wanaume ambao hawajaoa

Hii ni kwa Wanaume ambao hawajaoa

MONEY IS NOT EVERYTHING

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2024
Posts
424
Reaction score
765
Habari...

Nyie Wanaume ambao hamjaoa uwe umepanga au unaishi kwenu hasa wenye umri kuanzia 30-47 tabia ya kuwatembele marafiki zenu waliooa bila taarifa huku mmevaa pajama mnamuonesha shemeji yenu hayo mapaja iliiweje?

Halafu mchana kutwa mnakuwa wapi hadi mnasubiri kagiza kaingie ndo mnajifanya mnaenda kumtembelea rafiki?

Hii tabia muache maramoja.
 
Tabia za wanaume wa dar kuvaa vinjunga kuvaa vipens na viboxer unakuta mwanaume Rika la kwenda uzee kavaa kipensi mipaja yote nje khaaaa dar uzungu umewazid had kichefuchefu
 
Habari...

Nyie Wanaume ambao hamjaoa uwe umepanga au unaishi kwenu hasa wenye umri kuanzia 30-47 tabia ya kuwatembele marafiki zenu waliooa bila taarifa huku mmevaa pajama mnamuonesha shemeji yenu hayo mapaja iliiweje?

Halafu mchana kutwa mnakuwa wapi hadi mnasubiri kagiza kaingie ndo mnajifanya mnaenda kumtembelea rafiki?

Hii tabia muache maramoja.
Kwani unaogopa nini?
 
Kipi kigeni?! Kipi usicho kijua?!, kipi ambacho hujaona katika mwili wa mwanaume?!
 
Mimi sehemu ya wageni ni tofauti na familia yaani huwezi muona Wala nini, huduma zote nafanya Mimi sio mke Wala mtoto hutawaona, na habar ya kutambulishana sijui nini hamna, na itabaki hivyo. na kama sikuelewi hata nyumbani hutafika
 
Back
Top Bottom