MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 424
- 765
hawajamaa hawafai ukiwalegezea utakuta manyoaHhhh wanazingua sio
Tabia za wanaume wa dar kuvaa vinjunga kuvaa vipens na viboxer unakuta mwanaume Rika la kwenda uzee kavaa kipensi mipaja yote nje khaaaa dar uzungu umewazid had kichefuchefuHabari...
Nyie Wanaume ambao hamjaoa uwe umepanga au unaishi kwenu hasa wenye umri kuanzia 30-47 tabia ya kuwatembele marafiki zenu waliooa bila taarifa huku mmevaa pajama mnamuonesha shemeji yenu hayo mapaja iliiweje?
Halafu mchana kutwa mnakuwa wapi hadi mnasubiri kagiza kaingie ndo mnajifanya mnaenda kumtembelea rafiki?
Hii tabia muache maramoja.
Kwani unaogopa nini?Habari...

Kipi kigeni?! Kipi usicho kijua?!, kipi ambacho hujaona katika mwili wa mwanaume?!Habari...
Nyie Wanaume ambao hamjaoa uwe umepanga au unaishi kwenu hasa wenye umri kuanzia 30-47 tabia ya kuwatembele marafiki zenu waliooa bila taarifa huku mmevaa pajama mnamuonesha shemeji yenu hayo mapaja iliiweje?
Halafu mchana kutwa mnakuwa wapi hadi mnasubiri kagiza kaingie ndo mnajifanya mnaenda kumtembelea rafiki?
Hii tabia muache maramoja.
kwaupande wangu haijakaa poa shemej yako kumvalia pajama mipaja yote nje ukiinua mguu anaokaribia kuona nyeti..unamtamanisha iliiweje?Hapo unadhani nayeye ni saa mbovu kamawewe...sio sawa.Kwani unaogopa nini?
sasa kama unamuonesha hvo mke wa rafiki yako unadhani hapo unaonesha heshima kwa rafiki yako?Kipi kigeni?! Kipi usicho kijua?!, kipi ambacho hujaona katika mwili wa mwanaume?!