Hii ni kwa wanaume wenzangu...

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,497
Reaction score
16,180
Ukiona umekorofishana na mpenzi wako na ukajaribu kujiexplain halafu akakujibu NIPO SAWA TUU... My brother hapo jua unatakiwa ufanye kazi ya ziada kumfanya aelewe maelezo yako, usije sema hukuambiwa.
 
Mbona ilisharudiwa hii tangu mwendazake akiwa anagombea urais kwa mara ya kwanza
Tunakumbushana kiongozi maana kwa maisha yanavyoenda kas nchini saivi ni rahisi kuvurugwa ukasahau
 
Usawa huu wa hela ya kulenga kwa manati stress kama zote, bado kuna kubembelezana???

Siungi mkono hoja. Nasubiri muongozo wa Mwenyekiti ili niweke pingamizi katika "HALMASHAURI KUU YA WANAUME BAHILI"
 
Kuna demu mmoja nimekorofishana nae leo siku ya tatu nimemlia buyu ila mbususu yake nimeisasambua mara nane mfululizo
 
Ukitaka kumwelewa mwanamke utachelewa kutafuta pesa... We mpende tu
 
Ukiona umeanza kumwelewa mwanamke ujue umekaribia kufa.

RIP mchizi kichizi.
 
Ahsante kwa ujumbe...

(Nimemuwakilisha mwanaume mwenzenu)
 
Nasubiri barua ya TFF

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…