Hii ni kwa wanawake na mademu wote bongo

Hii ni kwa wanawake na mademu wote bongo

We hujaenda " south america " sema umeenda " chato " [emoji1] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Hicho kingereza chako hata hufananii kama umewahi kupanda ndege
Hicho kingereza chako hata hufananii kama umewahi kupanda ndege
kwani ndege nin wabongo ushamba tu umewajaa@ kule south America asilimia90% hawajuia kingereza but it's normal@ hiki kiingereza kingereza changu kibofu kimenifanya nitoke kimaisha abroad wakat wewe unaejifanya upo bongo maisha magumu lipstick chako hakizid hata doller 500 endelea kupigwa na vumbi bongo na vyuma viendeleee kukaza
 
kwani ndege nin wabongo ushamba tu umewajaa@ kule south America asilimia90% hawajuia kingereza but it's normal@ hiki kiingereza kingereza changu kibofu kimenifanya nitoke kimaisha abroad wakat wewe unaejifanya unajua English upo bongo maisha magumu kipato chako hakizid hata doller 500 endelea kupigwa na vumbi bongo na vyuma viendeleee kukaza
 
Habari,

Nina wiki tatu Tanzania kutokea South America toka nifike hapa home nimeona mambo ya ajabu sana, nimetongeza demu amenikubalia na kunipga mzinga ndani ya siku ya tatu ya mahusiano nikamuacha nikaona hafai.

Nikampata mwingine naye kanipiga mzinga wa pesa ndefu ndani week moja na now Am give up bora nioe tu mademu wa Latin America ambao wana real love hawana mizinga kama bongo jamani hata kama vyuma vimebana sikihivyo.

Acha uongo siku hizi wanaume hata mia hamna mnabaki kujing'atang'ata tuu zile kazi za kiume ndio zimegeuka za mademu poor you man
 
kwani ndege nin wabongo ushamba tu umewajaa@ kule south America asilimia90% hawajuia kingereza but it's normal@ hiki kiingereza kingereza changu kibofu kimenifanya nitoke kimaisha abroad wakat wewe unaejifanya upo bongo maisha magumu lipstick chako hakizid hata doller 500 endelea kupigwa na vumbi bongo na vyuma viendeleee kukaza
Lipstick ya nini mkuu? Situmii hiyo kitu.
Kwa ufupi mada yako imebuma,rudi south america ukafaidi free p. Huku kwetu no more free p, ukatae au ukubali ndo hivyo.
 
Lipstick ya nini mkuu? Situmii hiyo kitu.
Kwa ufupi mada yako imebuma,rudi south america ukafaidi free p. Huku kwetu no more free p, ukatae au ukubali ndo hivyo.
nyie madem wakibongo lazima muwe civilized kama the rest of the world @ love first and other stuff follow pesa sio tatizo ila mpunguze njaaa
 
nyie madem wakibongo lazima muwe civilized kama the rest of the world @ love first and other stuff follow pesa sio tatizo ila mpunguze njaaa
Njaa haiwezi kuisha, Tafuta hela uache manung'uniko.
 
Back
Top Bottom