Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
kiongereza>>>>KiingerezaHicho kiongereza chako hata hufananii kama umewahi kupanda ndege
[emoji1303][emoji1303]kiongereza>>>>Kiingereza
Unipe kesi halafu utegemee nije kule?[emoji23][emoji23]Njoo nikupe mkeka
Hata kama nilikupa kesi ila si kwa kujificha huko
nawazoomUnipe kesi halafu utegemee nije kule?[emoji23][emoji23]
Unajua we ni mtu wa muhimu sana kule[emoji6]Unipe kesi halafu utegemee nije kule?[emoji23][emoji23]
Andaa sandarusi la kumfanya ajiteke[emoji23][emoji23][emoji23]
Kichwa Kichafu msikie jose
Hicho kingereza chako hata hufananii kama umewahi kupanda ndege
kwani ndege nin wabongo ushamba tu umewajaa@ kule south America asilimia90% hawajuia kingereza but it's normal@ hiki kiingereza kingereza changu kibofu kimenifanya nitoke kimaisha abroad wakat wewe unaejifanya upo bongo maisha magumu lipstick chako hakizid hata doller 500 endelea kupigwa na vumbi bongo na vyuma viendeleee kukazaHicho kingereza chako hata hufananii kama umewahi kupanda ndege
kwani ndege nin wabongo ushamba tu umewajaa@ kule south America asilimia90% hawajuia kingereza but it's normal@ hiki kiingereza kingereza changu kibofu kimenifanya nitoke kimaisha abroad wakat wewe unaejifanya unajua English upo bongo maisha magumu kipato chako hakizid hata doller 500 endelea kupigwa na vumbi bongo na vyuma viendeleee kukaza
Hii wiki nimekuwa kuku,ila nitakuja[emoji38][emoji38]Unajua we ni mtu wa muhimu sana kule[emoji6]
Ninayo mpyaaa ngoja nikaifate[emoji23][emoji125] [emoji125]Andaa sandarusi la kumfanya ajiteke
Halafu mnajifanya hamjui kituAndaa sandarusi la kumfanya ajiteke
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kichwa Kichafu msikie jose
Habari,
Nina wiki tatu Tanzania kutokea South America toka nifike hapa home nimeona mambo ya ajabu sana, nimetongeza demu amenikubalia na kunipga mzinga ndani ya siku ya tatu ya mahusiano nikamuacha nikaona hafai.
Nikampata mwingine naye kanipiga mzinga wa pesa ndefu ndani week moja na now Am give up bora nioe tu mademu wa Latin America ambao wana real love hawana mizinga kama bongo jamani hata kama vyuma vimebana sikihivyo.
Lipstick ya nini mkuu? Situmii hiyo kitu.kwani ndege nin wabongo ushamba tu umewajaa@ kule south America asilimia90% hawajuia kingereza but it's normal@ hiki kiingereza kingereza changu kibofu kimenifanya nitoke kimaisha abroad wakat wewe unaejifanya upo bongo maisha magumu lipstick chako hakizid hata doller 500 endelea kupigwa na vumbi bongo na vyuma viendeleee kukaza
nyie madem wakibongo lazima muwe civilized kama the rest of the world @ love first and other stuff follow pesa sio tatizo ila mpunguze njaaaLipstick ya nini mkuu? Situmii hiyo kitu.
Kwa ufupi mada yako imebuma,rudi south america ukafaidi free p. Huku kwetu no more free p, ukatae au ukubali ndo hivyo.
Njaa haiwezi kuisha, Tafuta hela uache manung'uniko.nyie madem wakibongo lazima muwe civilized kama the rest of the world @ love first and other stuff follow pesa sio tatizo ila mpunguze njaaa
Kwachu kwachu kwachu(kicheko toka moyoni hicho) [emoji6] Nitasubiri mamaHii wiki nimekuwa kuku,ila nitakuja[emoji38][emoji38]