Hii ni kwa wanawake na mademu wote bongo

London , asilimia kubwa ya wanawake wenye wa penzi wao hua wana ungana na kusaidiana kimaisha nilipenda sana hii tabia. Mfano (kodi ya nyumba, chakula na bili za kawaida na pia wakati mmwingine analipia mkitoka gharama za chakula)
 
Wewe unaingia na swaga za yooyoo
Ama rich nigga i'll give you ma world....

Unategemea nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…