Hii ni kwa wapenzi wa Samaki Sato (Fresh)

Hii ni kwa wapenzi wa Samaki Sato (Fresh)

BwanaSamaki012

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
212
Reaction score
250
Hello ladies and gentlemens?

Poleni na pilika pilika za maisha nimekuja na habari nzuri kwenu kwa wale wapenzi wa Sato wabichi (fresh)

Tunatoa huduma ya kuuza samaki fresh aina ya Sato kwa bei ya Tsh 8,500 kwa kilo, wanaingia kati ya samaki 5 - 4 kwenye kilo 1.

Samaki wetu wanaradha nzuri kwa sababu ni fresh kabisa awajafanyiwa any kind of preservation method wanatoka direIct from the source (bwawani) tunakuuziwa kiwa bado ni wazima, samaki hai kabisa.

Tunapatikana Mingoi (mbele kidogo ya Bunju B) unaweza ukafika kwenye mabwawa yetu au tukakuletea hadi sehemu ulipo mteja

Karibu ujipatie Sato fresh.

IMG-20220829-WA0004.jpeg
IMG_20221117_104121.jpg
 
Bucha lenu liko maeneo gani? Nataka fata mwenyewe
 
Kwa yoyote anaeitaji samaki anaweza nicheck kupitia number za simu zifuatazo;
0758779170
 

Attachments

  • video_20210722_111059_540P.mp4
    13.2 MB
Back
Top Bottom