Hii ni kwa wasichana magoigoi/vilaza

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Dem lazima awe Sharp...Bed...Jikoni...Everywhere!
Make your Man proud of YOU!!
Ukiwa Sharp hata
jamaa atakusifia kwa rafiki zake, hiyo kafanya dem
wangu bwana....Sasa jamaa hana hata kimoja cha
kukusifia....Bed pia uko shallow na you dont bother kujifunza wala,unaona utaaaammmm...Mh dada ,wataka ndoa ama ndoano???
Mkisoma Sifa za Mke mwema kwenye Biblia ndo
mtajua....Mke sio Sura au Shape, hata Punda ana
shape...Mke unatakiwa uwe SHARP.....
Kuna nyumba ukiingia tu unajua dem KILAAZA...liko wazi....Mwanamke Sharp hata ukifika kwake
utaona....iko clear na ki.laza iko clear...
Kuna watu wanadate na vilaaza wanajuta...dem hajui
kupika, kutwa alikuwa anashinda vibanda vya chips
na kula burger...Kisa ana shape umeweka
ndani, dadeki bonge la pancha, muda wote anatengeneza kucha...Mwanamke kufua hawezi/
hataki eti ataharibu kucha....Mwanamke anajua Kuoga
na Kuvaa tu....Mwanamke kupika hawezi anamuachia
Housegirl kila kitu....mahausigeli siku hizi ukizubaa tu
MESSI huyooooo kapita,unapinduliwa Uganda hivihivi
na IDD AMIN upo hapohapo! Mwanamke kitanda akutandikie Housegirl????Halafu
unategemea nini??? Kama Housegirl anashine in the
eyes of your Man kwamba yeye ndo Masterplanner
wa House, Mmeo atajuta kwanini alikuoa wewe ni
afadhali angem-turn Housegirl into a Wife....
Tafadhali,Think Twice,Ndoa sio kama Vinyweleo kila mtu anavyo...Zile Zama zimepita....Utabakia kutegesha
Mimba huolewi Ng'o maana huoleki...
Kama una hizi Tabia BADILIKA lasivyo chagua,ama
UJIOE au UOLEWE na Same type of Stupid Man as you
maana mtakutana wote level za Ngassa na
TEgete...ASANTE! Kwahisani ya watu wa dubai
 
Wape vidonge vyao wamezidi wanawake wanawaza Pete kuliko ndoa yenyewe
 
Wape vidonge vyao wamezidi wanawake wanawaza Pete kuliko ndoa yenyewe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji41] [emoji85]
 
Hahahaaa...
Wanaoga njee tu ndani hamna kitu unakuta pi.chu zina gina uchafu!
 
Dah mwanangu we dume ila unajua kuchamba duuh...ila umeongea kweli dem mzur na shep ipo kitandani ni kifo cha mende mwanzo mwisho asa si uboya uu...
 
Hahahaaa...
Wanaoga njee tu ndani hamna kitu unakuta pi.chu zina gina uchafu!
Hahaha Mpaka unajiuliza marambilimbili hivi hapa sijanunua simu nikauziwa sabuni kweli?
 
Stunter naona umeamka nao.. ila naona ujumbe umewafikia masista du wote wa town. Pia na wale Ambao wao kutwa instagram, fb, badoo... online 24/7. Kupika wavivu.. usafi wavivu.. hata kumpokea mume wavivu... . Wajirekebisheeeeeeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…