Hahaaaaa
Uwiiii nimecheka!
Acha wapinduliwe tu na ma housegal ,this is too much!
Mtu eti housegal anajua suruali ya mmeo imetatuka,sijui shirt halina kifungo na anarudishia kifungo,na pindo unategemea nn boss akimkuta?!na boxer anafua?!
Hivi unajua anavyoshona ananenea maneno gani?
Au mnafikiri limbwata mpk matunguri!?
Ndo maana baadhi ya familia hg hapiki chakula cha baba,Mungu atusaidie tu!
Vitu vingine tunajitakiaga wenyewe!
Na hg sikuhizi wanafundwa na mama zao so huwa wanakuja kimkakati kabisa wakipewa support na mama zao km hamjui!
Kaa kwnye nafasi yako km mke!