Hii ni kwa wasichana magoigoi/vilaza

Stunter naona umeamka nao.. ila naona ujumbe umewafikia masista du wote wa town. Pia na wale Ambao wao kutwa instagram, fb, badoo... online 24/7. Kupika wavivu.. usafi wavivu.. hata kumpokea mume wavivu... . Wajirekebisheeeeeeee!
mmh
 
Hahaaaaa
Uwiiii nimecheka!

Acha wapinduliwe tu na ma housegal ,this is too much!
Mtu eti housegal anajua suruali ya mmeo imetatuka,sijui shirt halina kifungo na anarudishia kifungo,na pindo unategemea nn boss akimkuta?!na boxer anafua?!

Hivi unajua anavyoshona ananenea maneno gani?
Au mnafikiri limbwata mpk matunguri!?
Ndo maana baadhi ya familia hg hapiki chakula cha baba,Mungu atusaidie tu!
Vitu vingine tunajitakiaga wenyewe!

Na hg sikuhizi wanafundwa na mama zao so huwa wanakuja kimkakati kabisa wakipewa support na mama zao km hamjui!

Kaa kwnye nafasi yako km mke!
 
Dah mwanangu we dume ila unajua kuchamba duuh...ila umeongea kweli dem mzur na shep ipo kitandani ni kifo cha mende mwanzo mwisho asa si uboya uu...
Mfundishe!
Kwani kuna ubaya gani
 
Labda ukiwaambia wewe ndo wataelewa,
manake kilasiku tunasema humu
 
kwa hasira zifanye wewe uone kama hajashikwa na aibu akajirekebsha.......labda kama mshipa wa aibu aliuacha kwao
 
kwa hasira zifanye wewe uone kama hajashikwa na aibu akajirekebsha.......labda kama mshipa wa aibu aliuacha kwao
Hapo hakuna cha kuzifanya mimi,
Yani Dawa ni kumgeuza HouseMaid kuwa Wife, bhaaas
 
Hili Tofali Mbona kubwa Sana unataka Wanawake wa dar Wahame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…