Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 49,759 Reaction score 118,798 Nov 2, 2016 #41 Mmmh! Kila leo afadhali ya jana. Kwani wanawake tumekukosea nini jamanii?
juan moses JF-Expert Member Joined Feb 16, 2014 Posts 2,403 Reaction score 2,478 Nov 2, 2016 #42 Zinaa Mbaya Jamani Mimi Nimeacha. Acheni Uzinzi. Hayo Ya Kitandani Yaachieni Ndoa. Mungu Awabariki.
Lyn Vivac JF-Expert Member Joined Aug 30, 2016 Posts 858 Reaction score 1,019 Nov 2, 2016 #43 Waambie bana dah!!!!!!
King Hash Member Joined Sep 24, 2014 Posts 52 Reaction score 13 Nov 2, 2016 #44 christine ibrahim said: Mfundishe! Kwani kuna ubaya gani Click to expand... kweli ni vyema mfundishane coz mbona mambo mengine yote twafundishana sembuse haya
christine ibrahim said: Mfundishe! Kwani kuna ubaya gani Click to expand... kweli ni vyema mfundishane coz mbona mambo mengine yote twafundishana sembuse haya
PATIE DE CHRISS JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 460 Reaction score 229 Nov 2, 2016 #46 Asante sana kwa ujumbe kwan umewafikia wanawake wote na masista duu mjini kwan wengi wao ni wazembe na wavivu hayupo sharp kila wakati yy kulalamika tuu wakati hata afanyi chochote.
Asante sana kwa ujumbe kwan umewafikia wanawake wote na masista duu mjini kwan wengi wao ni wazembe na wavivu hayupo sharp kila wakati yy kulalamika tuu wakati hata afanyi chochote.