kwa vile hodi ya chooni sio ya sauti ni kugonga tu mlango,na aliye ndani nae anagonga mlango (kwa choo cha uswazi,kidogo kama sanduku), kama huufikii mlango unatoa kakikohozi ka kizushi tu.kama nimepatia unipe zawadi,plz
Naomba uandike kwa kiswahili,,sijaelewa kabisa.
Kwani mapenzi ya dhati hayana wivu????Hiyo ndiyo dalili ya mapenzi ya dhati si wivu.
Mmmmhhhhhh umeanza sasa
Samahani Dena naomba kwanza unieleweshe wivu ni nini halafu tutaenda sambamba!Nimesema sizungumzii wivu right???
Yana wivu vizuri sana!Na wivu ni dalili ya penzi la dhati!Kwani mapenzi ya dhati hayana wivu????
Juzi umekuja na thread ya kushangaza sana, umelalamika kweli kuhusu mwanaume sijui ni mume/boyfriend au la. Kwa hii ya leo nimegundua kiitu kwako, UNA WIVU KUPITA KIASI, muombe Mungu akutoe huko maana wivu nao ni dhambi, kero at the same time. Kama una wivu wa hivyo ni tatizo kubwa sana, amani utaisikia kwa jirani.
Mungu akutie nguvu.
King'asti mambo?

Unamchokonoa babu?
babu maneno kuntuu! mi ntakuweza wapi weye,nimetoboa siri yako?
Pamoja sanaYana wivu vizuri sana!Na wivu ni dalili ya penzi la dhati!
Tulikubalianaje?............Ndo mpaka kila mtu ajue?
hehe babuuuu! sasa ndo unanianika. angalia wajukuu zako wana wivu hadi na vivuli vyao,kama ni wa iringa tutapata suicide mission punde!
Dena huo ni wivu wala usibishe, nakuthibitishia tu huwa inatokea hata ukimtakaa mtu kabla hajakupa tunda basi utapenda kufuatilia nyendo zake hata kama ulitaka kutumia staili ya nyoka yaani kuuma na kutema meno kisha unasepa kwa wanaume na wanawake hutapenda ukiona akiongea na wanawake wengine hususani wenye shepu kama yako au wanakuzidi! Hiyo ndiyo silka ya mapenzi mama, polee kama umekwama sehemu kimtindo, tehe tehe tehe tehe.

Hiyo red

Hiyo bluu usihukumu usije ukahukumiwa
Orait........ngoja niku