Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo tuseme unampenda NN kiasi hicho,!!!! nice one!!
Kumbe ni wewe nilidhani anamaanisha nini aka nn
Sasa kumbe ni nani?
Wala sijaona napita tuu
Sasa kumbe ni nani?
Wala sijaona napita tuu
Kaweka hiyo "NN" katika herufi kubwa.
Kaandika kiutata. Kama alimaanisha "nini" ni bora hata angeandika kwa herufi ndogo. Ila huenda nikawa nimemwelewa vibaya.
Alimaanisha NANI.....acha kujilazimishia ujiko!!!:becky:
Wala sijaona napita tuu
Wewe umejuaje alichomaanisha? Au yeye ndo wewe?
That's for me to know....
No wonder you don't know diddly-squat!!!
Namwonea wivu halafu inaisha tu!
Babu nawe pia......?!
Bila wivu utajuaje kama nakupenda?