Hii ni kwangu tu kuna wengine huwatokea???

wivu sina ila roho inauma....
shemeji shemeji huku mwazima taa....
mashemeji wangapi, mimi nimechooka.....
 
Kaweka hiyo "NN" katika herufi kubwa.



Kaandika kiutata. Kama alimaanisha "nini" ni bora hata angeandika kwa herufi ndogo. Ila huenda nikawa nimemwelewa vibaya.

Sasa nimekuelewa asante kwa ufafanuzi
 
Hahahhaa....jamani mi nimesema tu!!!:majani7:[/QUOTE]


Nimekusoma mama mchungaji
 
Aisee we DA unatenganishaje wivu na hii mada?
 
We nawe..chunga wivu!
Utaua watoto kwa wivu! huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…