litutumbwe
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 642
- 1,303
Tuliombre mno taifaletu pendwa,
At this age above37,nimeona mengi na nimekwepa mishale mingu mno,haikua kazi rahisu
Leo naomba nishee nanyi sababu za kwanini sina chuki moyoni mwanguna wanawake,au jinsia ke, tofauti nawengi humu wanaoeneza sumu kwa wannawake .
1)malezi ya udogoni,
Udogoni nilibahatika kuoata mama bora aluyenilea vizuri,kwa upendo wote,hii ilinijiengea pisitive mindset toward women in general
2)kutokataliwa kimapenzi/kupendwa
Nina bahati yakupendwa,na kugonbaniwa na wanawake wengi nikiwa kijna,nilipata pv$$y for free and abundantly mpaka nikakinai,kwa kweli hii ikafanya nisiwe na chuki kabisa na jinsia ke
3)kusikilizwa,
Out of things i love in my life nikueleweka nini nataka,na wakti gani.. Wakati wa tendo nimebahatika kuheshimiwa mno na kupewa chochote nikiombacho,kutoka kwa ke. Hii inazidi kuondoa kama siyo kupalilia upendo wangu wadhati kwa jinsia hii.
Mwisho,nilizaliwa ndani yandoa na kulelewa malezi bora kutoka kwa mama nababa,nimeshuhudia wakiishi kwa upendo na furaha,hii inazidisha maradufu mimi kutokua na mtazamo hasi,na hostile kwa women
Sina baya kabisa na jinsia ke🙏