Hii ni kweli au ni imani yetu tu? (wakubwa tu)

ni vigumu kupata ukimwh kwenye shamba la fwakafwaka km hauna kidonda au mchubuko wowote,lakin udogo unaonata ni rahisi kukuchubua thus unarahizisha maambukizi
 
Uchunguzi zaid unahitajika hapo. maana shamba ni shamba
 
kwahiyo tukufuate wewe ambaye unayo isiyo mnato, ni banzoka bablish?inayotanuka weweza ingia ulale umoumo?

Ulijuwaje weyee enhhh? hodari kweli wakupatia mambo au wee ndio katika waleee, waliokwisha kata rubber band?
 
kama alivyosema da Faiza kaka acha uzinzi, make ukiambiwa lipi lina afadhali itakusaidia nini?? ikiwa huwezi kutambua kwa macho kama hili shamba kavu au lina ma-water.
 
kama alivyosema da Faiza kaka acha uzinzi, make ukiambiwa lipi lina afadhali itakusaidia nini?? ikiwa huwezi kutambua kwa macho kama hili shamba kavu au lina ma-water.

Umeona eenhh?
 
Inabidi tuanzishe mashamba darasa hapa JF, mi nitakuwa Bwana shamba.

Maana bila hivyo tutabaki kuishi kwa kudhani na kuandikia mate.
 
Inabidi tuanzishe mashamba darasa hapa JF, mi nitakuwa Bwana shamba.

Maana bila hivyo tutabaki kuishi kwa kudhani na kuandikia mate.

Uko wapi weyee? mbona yapo siku nyiiingi! ama kweli we si mkulima, watu wanalima mpaka wanavuna humuhumu. Unanshangaza!
 
Uko wapi weyee? mbona yapo siku nyiiingi! ama kweli we si mkulima, watu wanalima mpaka wanavuna humuhumu. Unanshangaza!

FF acha Bibie! sina habari eti, kumbe haya mashamba wanayosema ni ya humu humu? Basi ongere zao wakulima na kulimwa.
 
kWA NINAVYOJUWA.............. Kinachosababisha uukwae ni michubuko ........hvyo kwenye fwaka........fwaka...........fwakana............ nikuwa hakuna msuguano mkali hvyo hata uwezekano wa mchubuko ni mdogo sana............... lakini kwenye minato............. unaweza ukawa unaenda ndani wakati ngozi yote (nazungumzia iliyomenywa) ukaiacha nje...........
 
acheni tabia za ubwabwa............. ukila vya wenzako na vyako pia vitaliwa, MUOGOPENI MUNGU WANA JF.
 
Ulijuwaje weyee enhhh? hodari kweli wakupatia mambo au wee ndio katika waleee, waliokwisha kata rubber band?
mwanaume aliyekuoa wewe ana hasara iliyopona, au kama labda wewe bado nung'ayembe unahangaika hujaolewa, atakayekuoa atakuwa amepata hasara isiyofutika, kwasababu umetoboka mdomo na huna hadhi ya kuwa mwanamke wa kuolewa na kuishi kwenye ndoa. kama maneno yako yako hivyo, je, hilo tunda lako si litakuwa limeliwa na nyenyere lote limebaki mnyumbuko wa banzoka tu...huna hadhi wala huna maana. nakupa pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…