Hii ni kweli Kenya?

Daah inauma sana sana
Ubepari ndo sababu ya yote haya

Huku Tanzania sisi ni masikini wa viwanda tu, lakini chakula ni jambo kutilia maanani sana kwetu

Dodoma, Singida na Misenyi ni maeneo yanayopitia changamoto ndogo ndogo ila kamwe hakujawahi tikea mtu afe kwa kukosa chakula

Ujamaa unatubeba
Badilikeni wakenya nyie ni ndugu zetu,
Toeni vipaumbele kwa viti vya mantiki
 
Turkana people ni wajinga kama watanzania kwa mfano mimi nalima chakula central province na mturukana/danganyikan mind set anaweka mifugo akitangatanga, itakuwa vipi akikosa chakula anitegemee mimi nimlishe? Hizo ndio mafikra za mtanzania na mturukana...povu mtamwaga lakini huo ndio ukweli hata omba omba wa tanzania utawapata baringo.
 
Hahahaha, shule zenu Ukiacha English, Ukabila, rushwa na sifa za kijinga, nini tena mnafundishwa?, ulishawahi kusikia kitu kinachoitwa "Specialization", unataka kila mtu alime, afuge, avue samaki, ajitibu, atengeneze nguo zake?, that's why Kenya is a failed state

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…