...Hakuna kitu kinachoitwa limbwata nyie watu acheni kudanganyana.
kama huamini kuna nguvu za giza na nguvu za mungu basi sizingekuwepo!!na tigo zipo pia
kalagabaho
jamani tabia ya mtu ni mtu mwenyewe hata umfungie chini ya udongo.. Ni kweli kabisa wao wanachohitaji ni kupewa starehe tu mambo ya mizinga sio sana.. Nilishawahi kukutana na mmoja kwa kweli ilikuwa kazi sana kuachana nae. Ni hatari pia.....
Mmmmh!!Mhh!!! hivi kama kweli unampenda mkeo utaendaje kumvulia nguo mwanamke mwingine huoni kama unajidhalilisha mwenyewe??? Hebu jiheshimuni na mbadilike kama mkeo ana mapungufu utamvumilia au kujirekebisha, dawa ya tatizo ni kulirekebisha sio kutafuta kipoozeo
well said Sajenti...Hakuna kitu kinachoitwa limbwata nyie watu acheni kudanganyana. Kila siku tunawaambia kuwa nyie wanawake mlioolewa once mkishaingia kwenye ndoa mnajiamini kupita kiasi. Mnadhani mkishaolewa basi kazi imekwisha hamtaki kujishughulisha kuwajali waume zenu. Hivi vitabia vya kujifanya mnataka kuwa sawa na wanaume pia vinawapoteza, eti hutaki kuwa mnyenyekevu kwa mumeo kisa unajiona uko juu kwa kuwa umesoma na una kazi yenye mshahara mzuri so unaweza kushindana na mumeo. Mwanamke unatakiwa kuwa makini muda wote na kuhakikisha kuwa majukumu ya kumuhudumia mumeo yanabaki kuwa yako na si vinginevyo, wengine ndio wanahamishia usaidizi kwa wasichana wa kazi. Kuanzia kufua nguo ( tena mpaka chupi za mume), kupika chakula, kusafisha chumba, kutandika kitanda. Hizo nyumba ndogo zimegundua wanaume wenye ndoa wengi wao huwa frustrated na wake zao so wao wanapiga bao hapo hapo. Nyumba ndogo haoni tabu kumpa busu mwanaume, kumtengenezea chakula kitamu, wengine mpaka wanawaogesha wanaume kama watoto (utaacha kunogewa huko?), ukifika tu unapokewa kwa bashasha na pole kibao. Lazima mwanaume afarijike na ndipo ndoa zinapovurugika. Wito ni kuwa akina mama mlioko kwenye ndoa punguzeni kujiamini na ujeuri usiokuwa na maana. Hata wababa hakikisheni wake zenu mnawaweka karibu ingawa najua wengine mnakwazika na vijimambo vya wake zenu...........
hakuna limbwata hata siku moja, wanawake inatakiwa wabadilike...tupendeni sisi waume zenu...tupeni haki zetu kama sisi tuwapavyo...tukiomba game ni ugomvi....mara nyingine mnatujibu tumia ukimaliza ifunike...imagine majibu kama hayo...bora nikajipumzishe huko nje ninakopewa mkate na asali yoooooote....aramba!WENGINE WANAWAPA MALIMBWATA HAMFURUKUTI..
akili ya kimungu hamuwezi kufanya hayo.....
ni kweli kabisa! mke wa mtu mtamu sana tena haringi, anatoa huduma zote hasa kama wewe ni serengeti boy! ila uwe unajua kupiga game mazeee.....hatokuacha ng'o!kuna watu nilisikia wakisema wake za watu ni watamu na hawasumbui....ni kweli?
hakuna limbwata hata siku moja, wanawake inatakiwa wabadilike...tupendeni sisi waume zenu...tupeni haki zetu kama sisi tuwapavyo...tukiomba game ni ugomvi....mara nyingine mnatujibu tumia ukimaliza ifunike...imagine majibu kama hayo...bora nikajipumzishe huko nje ninakopewa mkate na asali yoooooote....aramba!
hakuna limbwata hata siku moja, wanawake inatakiwa wabadilike...tupendeni sisi waume zenu...tupeni haki zetu kama sisi tuwapavyo...tukiomba game ni ugomvi....mara nyingine mnatujibu tumia ukimaliza ifunike...imagine majibu kama hayo...bora nikajipumzishe huko nje ninakopewa mkate na asali yoooooote....aramba!
WENGINE WANAWAPA MALIMBWATA HAMFURUKUTI..
akili ya kimungu hamuwezi kufanya hayo.....