Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
-
- #41
so Mimi kutokukuweka ndo nimekuwa mgenii?? Nimeangalia vigezo so kama haupo kaoge maji ya chumvi
Dude nataniana na niliyemquote sawa?... Usiniletee mipasho uliyozoea kusutana na akina Delicious huko uswahilini ok?...so Mimi kutokukuweka ndo nimekuwa mgenii?? Nimeangalia vigezo so kama haupo kaoge maji ya chumvi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sina shida ya Kukumbukwa na sikujiunga hapa JamiiForums ili niwe natajwa tajwa au nakumbukwa hovyo kama Marehemu ( Hayati ) tuliowazika Makaburini. Na isitoshe Mtu ukishakuwa ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' Wewe muda wote tu lazima utakuwa unakumbukwa ama na Wapumbavu wachache au na Werevu wengi. Kila la kheri.
Nimejua leo kama amekuazima viatu vyake baada ya kuangalia kwa umakini avatar yakoViatu vya Samaki huwa ananifurahisha sana na comments zake,Member anaefanya nismile kila nikiona comments zake.Ni mkarimu pia kiasi cha kuniazima viatu vyakeππ
oh,ππ.Nimejua leo kama amekuazima viatu vyake baada ya kuangalia kwa umakini avatar yako
Dude nataniana na niliyemquote sawa?... Usiniletee mipasho uliyozoea kusutana na akina Delicious huko uswahilini ok?...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaa kuna la mtu anaitwa Asprin nimemuona kwalist kweli Dunia inaenda kasiKwa uchache tuu hawa ni watu ambao wako peace, wasio na majivuno, waelewa,wasio shida na mtu..
Mshana jr -huyu mtu yuko peace na kila mtu.
Yeye hata ajibiwe shit bado atajibu vizuri. Anakujibu vizuri unapomuuliza kitu..
Ushimen- huyu ni mtu mmoja peace.
Pia anapenda sana masikhara Hali inayompelekea watu kummaindi japo watu wanaona yuko serious..
Kwa muda - huyu bro saivi sijui kapotelea wapi??
Ni mtaalamu wa mambo ya sound. hanaga shida na mtu
Sky eclat - huyu mama sio mbaguzi wa mawazo.
Anachangia pale inapobidi bila kuangalia nyuzi ni ya nani.. Yuko peace..
Viatu vya Samaki - huyu mtu ni mtu mmoja peace sana japo kuna watu hawamuelewi.. ni kuwa mpaka umchokoze ndo atakuwakia!
Kinyume na hapo yupo fresh.
Malcolm lumumba -
Asprin -
Blacki Woman -
Castr -
mim siko peace mkuuKwa uchache tuu hawa ni watu ambao wako peace, wasio na majivuno, waelewa,wasio shida na mtu..
Mshana jr -huyu mtu yuko peace na kila mtu.
Yeye hata ajibiwe shit bado atajibu vizuri. Anakujibu vizuri unapomuuliza kitu..
Ushimen- huyu ni mtu mmoja peace.
Pia anapenda sana masikhara Hali inayompelekea watu kummaindi japo watu wanaona yuko serious..
Kwa muda - huyu bro saivi sijui kapotelea wapi??
Ni mtaalamu wa mambo ya sound. hanaga shida na mtu
Sky eclat - huyu mama sio mbaguzi wa mawazo.
Anachangia pale inapobidi bila kuangalia nyuzi ni ya nani.. Yuko peace..
Viatu vya Samaki - huyu mtu ni mtu mmoja peace sana japo kuna watu hawamuelewi.. ni kuwa mpaka umchokoze ndo atakuwakia!
Kinyume na hapo yupo fresh.
Malcolm lumumba -
Asprin -
Blacki Woman -
Castr -
Yah, fashion yake ya kinyamwezi sanaoh,ππ.
Anazo sampuli nyngn tofauti tofauti,nimuombe akuazime na wewe mkuuπ?
sanaaYah, fashion yake ya kinyamwezi sana