Hii ni list ya watu ambao wako peace humu ndani..

Nimesahaulika katika hii list..... Nimeona nami nijitaje....!!!🙂
 
GENTAMYCINE, umesahaulika huko, njoo ushuhudie

Sent using Jamii Forums mobile app

Sina shida ya Kukumbukwa na sikujiunga hapa JamiiForums ili niwe natajwa tajwa au nakumbukwa hovyo kama Marehemu ( Hayati ) tuliowazika Makaburini. Na isitoshe Mtu ukishakuwa ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' Wewe muda wote tu lazima utakuwa unakumbukwa ama na Wapumbavu wachache au na Werevu wengi. Kila la kheri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dude nataniana na niliyemquote sawa?... Usiniletee mipasho uliyozoea kusutana na akina Delicious huko uswahilini ok?...

Sent using Jamii Forums mobile app

😂😂😂 sasa hii ni uzi ni wa nani??
Ungekuwa wa kwako sawa!.
Halafu naona imekuuma sanaaa hivi vitu vigogo tuu..
Sikushangai maana hata yule jamaa mzee wa chura ulimwambia akatafute bwana!..

Alafu kama unataniana na huyu uliom quote why unitaje Mimi???..

Jiongeze Dada..
 
Kwa uchache tuu hawa ni watu ambao wako peace, wasio na majivuno, waelewa,wasio shida na mtu..

Mshana jr -huyu mtu yuko peace na kila mtu.
Yeye hata ajibiwe shit bado atajibu vizuri. Anakujibu vizuri unapomuuliza kitu..

Ushimen- huyu ni mtu mmoja peace.
Pia anapenda sana masikhara Hali inayompelekea watu kummaindi japo watu wanaona yuko serious..

Kwa muda - huyu bro saivi sijui kapotelea wapi??
Ni mtaalamu wa mambo ya sound. hanaga shida na mtu

Sky eclat - huyu mama sio mbaguzi wa mawazo.
Anachangia pale inapobidi bila kuangalia nyuzi ni ya nani.. Yuko peace..

Viatu vya Samaki - huyu mtu ni mtu mmoja peace sana japo kuna watu hawamuelewi.. ni kuwa mpaka umchokoze ndo atakuwakia!
Kinyume na hapo yupo fresh.

Malcolm lumumba -
Asprin -
Blacki Woman -
Castr -
Ahaaa kuna la mtu anaitwa Asprin nimemuona kwalist kweli Dunia inaenda kasi

mim siko peace mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom