Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji144][emoji144][emoji144][emoji123]Kwa uchache tuu hawa ni watu ambao wako peace, wasio na majivuno, waelewa,wasio shida na mtu..
Mshana jr -huyu mtu yuko peace na kila mtu.
Yeye hata ajibiwe shit bado atajibu vizuri. Anakujibu vizuri unapomuuliza kitu..
Ushimen- huyu ni mtu mmoja peace.
Pia anapenda sana masikhara Hali inayompelekea watu kummaindi japo watu wanaona yuko serious..
Kwa muda - huyu bro saivi sijui kapotelea wapi??
Ni mtaalamu wa mambo ya sound. hanaga shida na mtu
Sky eclat - huyu mama sio mbaguzi wa mawazo.
Anachangia pale inapobidi bila kuangalia nyuzi ni ya nani.. Yuko peace..
Viatu vya Samaki - huyu mtu ni mtu mmoja peace sana japo kuna watu hawamuelewi.. ni kuwa mpaka umchokoze ndo atakuwakia!
Kinyume na hapo yupo fresh.
Malcolm lumumba -
Asprin -
Blacki Woman -
Castr -
Jr[emoji769]