Hii ni list ya watu ambao wako peace humu ndani..

Hii ni list ya watu ambao wako peace humu ndani..

Kwa uchache tuu hawa ni watu ambao wako peace, wasio na majivuno, waelewa,wasio shida na mtu..

Mshana jr -huyu mtu yuko peace na kila mtu.
Yeye hata ajibiwe shit bado atajibu vizuri. Anakujibu vizuri unapomuuliza kitu..

Ushimen- huyu ni mtu mmoja peace.
Pia anapenda sana masikhara Hali inayompelekea watu kummaindi japo watu wanaona yuko serious..

Kwa muda - huyu bro saivi sijui kapotelea wapi??
Ni mtaalamu wa mambo ya sound. hanaga shida na mtu

Sky eclat - huyu mama sio mbaguzi wa mawazo.
Anachangia pale inapobidi bila kuangalia nyuzi ni ya nani.. Yuko peace..

Viatu vya Samaki - huyu mtu ni mtu mmoja peace sana japo kuna watu hawamuelewi.. ni kuwa mpaka umchokoze ndo atakuwakia!
Kinyume na hapo yupo fresh.

Malcolm lumumba -
Asprin -
Blacki Woman -
Castr -
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji144][emoji144][emoji144][emoji123]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom