"......................satutariduk allaeanat aleazimat watutariduk limudat 400 eam qadimat hataa yatima tadmir bidhratik bialkamil ................................."
Kwahiyo unaziambia familia zilizopoteza ndugu zao zikamlaumu Mange Kimambi kwasababu ndie aliingia mitaani na kufyatulia risasi raia wasio na hatia ambao walitoka nje ya majumba yao wakihamaki nini kinaendelea huko nje (kama ni JWTZ wanachukua inchi au ni Polisi wanapiga risasi hewani kutawanya waandamanaji)?Wakulaumiwa ni Mange Kimambi, na wale wote waliokaidi maagizo ya kutokuandamana siku ya uchaguzi. Maandalizi ya majeshi yetu hususani kwenye mazoezi na kauli zao za kutotaka watu wasiandamane siku ya uchaguzi, yalionesha wazi ni nini ambacho kingeenda kutokea endapo watu wangethubutu kuingiza pua zao barabarani kuandamana siku hiyo.
Sasa baadhi ya vijana ambao wengi wameshikiwa akili na Mange, akishirikiana na wakenya kadhaa walipuuza katazo la maandamano, na kujiona wana ubavu wa kuingia barabarani muda wote kuchoma vituo vyetu vya mabasi ya umma (mwendokasi), kuchoma magari ya watu, kuchoma maduka ya watu, yumba za watu, kuchoma vituo vya polisi, kuuwa polisi nk. I mean wakifikiri kwamba huo ndio ungekuwa mwisho wa serikali, hivyo hakuna atakaewafanya kitu.
Hawa watu wahakujua kwamba Mange alikuwa anawajaza upepo, huku yeye akitumia njia hiyo kupiga hela kwenye social media. Kumbuka kila alieingia kusoma, kusikiliza, na kuangalia post ya Mange Kimambi kwenye mitandao ya kijamii, iwe ni Instagram, YouTube nk hela ziliingia kwake kupitia views, subscribe nk. Wakati vijana walikuwa wanazidi kuingia barabarani kuumia, kuuwawa na wengine kukamatwa, yeye kwake ilikuwa furaha ya kuingiza mamilioni ya shilingi kupitia post zake mitandao.
Najua wapo ambao wameuwawa bila hatia, lakini je kama vijana wangesikiliza katazo la viongozi wa juu la kuwataka watu wasiandamane siku ya kupiga kura hayo yote yangetokea?
Waliambiwa wafanye maandamano yao siku nyingine ambayo sio ya uchaguzi, lkn wao wakakaidi, huku Mange akiwajaza upepo kuwa wanaweza. Sasa leo kati ya walioandamana, kuna walioacha watoto zao mayatima, huku watoto wa Mange wakiwa na wazazi wao wote wawili, kuna walioumia huku Mange akiwa mzima buheri.
Watu waliuwa polisi na kuchoma moto vituo, hivyo polisi na wao wakaona hii ishakuwa vita. Wakajihami na wao kuanza kuuwa kama wanavyouwawa. Vita haina macho na matokeo yake hata wasiohusika wakauwawa.
Waandamanaji wengine wakawa wanakimbilia vichochoroni, na kwenye makazi ya watu kujificha, hivyo polisi nao wakawa wanawarushia mabomu huko huko walipojificha, mwisho yale mabomu yakawa yanawaathiri watoto, wagonjwa na watu wengine ambao hawakuwepo kwenye maandamano. Kama waandamanaji wasingekuwa wanarushia polisi mawe, chupa na kukimbilia kujificha kwenye maeneo ya makazi ya watu basi madhara mengi yangeepukika.
Kila mchuma janga hula na nduguze. Mange kwa sasa hana cha kupoteza, ila aliowadanganya ndio waliopotea na kupotezwa. RIP kwa wote waliouwawa kwenye fujo zile.
...hii kauli ilivuma sana vinywani mwa wapumbavu na vipofuHabarini ndugu watanzania wenzangu. Huu ni uzi wangu wa kwanza tokea niweke uzi wa mwisho hapa kwasababu niliacha kuandika kwa muda ili kupisha harakati na purukushani za uchaguzi kupita.
Nawasalimia nikiwa na huzuni kubwa sana moyoni kutokana na misiba mingi ya ndugu,jamaa, marafiki na majirani ambayo imetuzunguka na la kusikitisha ni kuwa misiba hii mingi tunaishiriki bila kuwa na maziko kwasababu tumetafuta miili ya wapendwa wetu katika mahospitali yote tulipoelekezwa bila kufanikiwa kuipata na hivyo basi tumeshiriki ibada na Dua bila miili kwa baadhi ya misiba hii.
Kwa kifupi bado nipo katika wiki ya kimaombolezo sipo sawa kabisa kiakili kwa sasa, akili yangu imejawa huzuni,butwaa, mshangao, ganzi, vitendawili visivyo na majibu, nimekuwa mtu wa kukaa pekee yangu mara nyingi nikijaribu kujiweka sawa kwasababu nikisikiliza watu wakisema maisha yamerudi mimi natafakari wale majirani zangu ambao wameuwawa na jinsi taarifa za misiba yao zilitufikia, natafakari kilichotokea kama kilikuwa na ulazima wowote kufanywa mbona wengi wa waliotutoka ni responsible citizens wa Dar es salaam na hawana hata shughuli zozote za kihalifu au siasa za visasi na pande zozote bali ni makabwela wa kufanya shughuli za kujikimu "hand to mouth life style"?
Ukiwa hauna hata chembe ya ubinadamu na utimamu wa kiakili utalinganisha uharibifu wa miundo mbinu ya mwendo kasi,majengo ya serikali na uhai wa mwanadamu. Hivi ni vitu viwili tofauti na havifanani kwa hadhi hata kidogo. Majengo na miundo mbinu tunaweza kuijenga upya na kurudisha mvuto wake uliopotea au tunaweza kutengeneza miundo mbinu ya kisasa zaidi kushinda ile ya kwanza. Ila nambie, ni wapi utanunua au kupata uwezo wa kurejesha hawa ndugu, jamaa, majirani na marafiki walio uwawa?
Natoa onyo kali kwa wale waoleta hoja za kipumbavu kujustify uwendawazimu uliotokea kuwa ni kwa mujibu wa sheria na watekelezaji walikuwa wanalinda usalama wa inchi, njoo nikuonyeshe familia ambazo hawajui mama zao na baba zao wapo wapi hadi sasa wametuachia mayatima na wajane wakiwa hawaamini kilichotokea.
Watoto wetu wamekuwa traumatized na mabomu na milio ya risasi iliyokuwa inapigwa mfululizo as if nyumba zetu zimejengwa kwenye viwanja vya shabaha za mazoezi ya kulenga risasi na mabomu. Watoto wetu na familia zilipaliwa na moshi mkali wa mabomu ya machozi. Nani anaweza kuruhusu ushenzi wa kiwango hiki kwa raia watulivu kama wa tanzania?
Nipo kwenye maombolezo kwasasa sijui nitamaliza lini ila itanichukua muda mrefu sana kukubaliana na ukweli kuwa mambo yalikuwa hivi na haikuwa ndoto.
MUNGU awalaani wote kuanzia aliyetoa wazo na aliyekuwa wa mwisho kutekeleza amri hii ya kishetani, laana kubwa inawajia juu yenu kwa muda mtakaokuwa hapa duniani na mfe midomo ikiwa imepinda kushoto na macho yakatae kufunga.
"......................satutariduk allaeanat aleazimat watutariduk limudat 400 eam qadimat hataa yatima tadmir bidhratik bialkamil ................................."
Walichofanya polisi ni kitu ambacho walishapanga kukifanya bila hata kujua kama hao watakao andamana watauwa polisi au kuchoma mali za watu binafsi na kuharibu miundombinu.Wakulaumiwa ni Mange Kimambi, na wale wote waliokaidi maagizo ya kutokuandamana siku ya uchaguzi. Maandalizi ya majeshi yetu hususani kwenye mazoezi na kauli zao za kutotaka watu wasiandamane siku ya uchaguzi, yalionesha wazi ni nini ambacho kingeenda kutokea endapo watu wangethubutu kuingiza pua zao barabarani kuandamana siku hiyo.
Sasa baadhi ya vijana ambao wengi wameshikiwa akili na Mange, akishirikiana na wakenya kadhaa walipuuza katazo la maandamano, na kujiona wana ubavu wa kuingia barabarani muda wote kuchoma vituo vyetu vya mabasi ya umma (mwendokasi), kuchoma magari ya watu, kuchoma maduka ya watu, yumba za watu, kuchoma vituo vya polisi, kuuwa polisi nk. I mean wakifikiri kwamba huo ndio ungekuwa mwisho wa serikali, hivyo hakuna atakaewafanya kitu.
Hawa watu wahakujua kwamba Mange alikuwa anawajaza upepo, huku yeye akitumia njia hiyo kupiga hela kwenye social media. Kumbuka kila alieingia kusoma, kusikiliza, na kuangalia post ya Mange Kimambi kwenye mitandao ya kijamii, iwe ni Instagram, YouTube nk hela ziliingia kwake kupitia views, subscribe nk. Wakati vijana walikuwa wanazidi kuingia barabarani kuumia, kuuwawa na wengine kukamatwa, yeye kwake ilikuwa furaha ya kuingiza mamilioni ya shilingi kupitia post zake mitandao.
Najua wapo ambao wameuwawa bila hatia, lakini je kama vijana wangesikiliza katazo la viongozi wa juu la kuwataka watu wasiandamane siku ya kupiga kura hayo yote yangetokea?
Waliambiwa wafanye maandamano yao siku nyingine ambayo sio ya uchaguzi, lkn wao wakakaidi, huku Mange akiwajaza upepo kuwa wanaweza. Sasa leo kati ya walioandamana, kuna walioacha watoto zao mayatima, huku watoto wa Mange wakiwa na wazazi wao wote wawili, kuna walioumia huku Mange akiwa mzima buheri.
Watu waliuwa polisi na kuchoma moto vituo, hivyo polisi na wao wakaona hii ishakuwa vita. Wakajihami na wao kuanza kuuwa kama wanavyouwawa. Vita haina macho na matokeo yake hata wasiohusika wakauwawa.
Waandamanaji wengine wakawa wanakimbilia vichochoroni, na kwenye makazi ya watu kujificha, hivyo polisi nao wakawa wanawarushia mabomu huko huko walipojificha, mwisho yale mabomu yakawa yanawaathiri watoto, wagonjwa na watu wengine ambao hawakuwepo kwenye maandamano. Kama waandamanaji wasingekuwa wanarushia polisi mawe, chupa na kukimbilia kujificha kwenye maeneo ya makazi ya watu basi madhara mengi yangeepukika.
Kila mchuma janga hula na nduguze. Mange kwa sasa hana cha kupoteza, ila aliowadanganya ndio waliopotea na kupotezwa. RIP kwa wote waliouwawa kwenye fujo zile.
Mange Kimambi hakuingia mtaani na angekuwa bongo wala asingeweza kuthubutu kuingia mitaani kwa sababu anaogopa kufa, kukamatwa au kujeruhiwa. Ndiomaana hata Yale maandamano yaliofanyika Marekani yeye hakutia mguu kwa kisingizio kwamba alipata habari utauwawa.Kwahiyo unaziambia familia zilizopoteza ndugu zao zikamlaumu Mange Kimambi kwasababu ndie aliingia mitaani
Watu wamechoma vituo vya polisi, wameuwa polisi, wamechoma vituo vya mwendokasi, wamechoma maduka ya watu, sheli za watu, magari ya watu, nyumba za watu alaf wewe unajifanya hauoni walichokifanya!na kufyatulia risasi raia wasio na hatia ambao walitoka nje ya majumba yao wakihamaki nini kinaendelea huko nje
Jeshi wachukue nchi Ubungo? Kwani Ubungo ndio kuna ikulu ya raisi, redio ya taifa au uwanja wa ndege kusema aliepinduliwa asikimbie? Mbona hoja zako ni za hovyo sana!(kama ni JWTZ wanachukua inchi au ni Polisi wanapiga risasi hewani kutawanya waandamanaji)?
Watu wanachoma vituo vya polisi wanaua polisi alafu polisi huyo huyo awalinde wanaumuua? Ile ilikuwa ni kama vile vita, yani polisi akizubaa muandamanaji anapita nae, na muandamanaji akizubaa polisi anapita nae. Raia walitakiwa watulie nyumbani baada ya kupiga kura, au kutokupiga kura, sasa walitokaje kwenda kujichanganya na wachoma vituo vya polisi wakati washatangaziwa kutotoka nje?Wewe umetumia sheria ipi kuhalalisha na kusema ni sawa kwa askari aliyepewa mafunzo ya kisheria ya kulinda raia wenzake then askari huyo huyo akatekeleza kitendo cha kinyama cha kufyatua risasi hovyo?
Kwenye msafara wa Mamba Kenge nao wapo. Kwa mihemko ile hapakuwa na mtu wa kutaka kumchunguza alie pembeni yake kuwa ni mkenya, mganda au mburundi. Wote lao lilikuwa moja tu kuchoma vituo vya mabasi, nyumba maduka, kuangusha utawala wa kisheria nk kama walivyohamasishwa na Mange. Baada ya kukamatwa na kuhojiwa vizuri ndo wengi wakajulikana huko.Mbona hao Wakenya ni mliwaona ninyi tu huku mitaani mbona raia wamekutana na watanzania wenzao tu wanaokimbia kimbia kukwepa mabomu ya machozi na risasi?
Sio sawa, lkn hao raia nani kawatuma kuchoma vituo vya polisi na mwendokasi moto? Nani kawatuma kuuwa polisi, kuchoma nyumba, maduka na gari za watu moto?Wewe kwako raia kuuwawa imekaa sawa?
Hata na wewe unalaana na unalijua hilo, ila kwa vile una mlengo wako uliochagua, unajifanya wewe na wale waliochoma vituo kwamba ni Malaika.Unajua ninyi watu mnaojaribu kujustfy huu ushenzi ni mnalaana kubwa mbeleni huko?🤬
Wewe acha ujinga uliopandikizwa na lile dangaji la USA. Siku zote ukiuwa kwa upanga basi na wewe utakufa kwa upanga. Usitegemee watu waliohamasishwa kuuwa polisi na kuchoma vitu moto wangechekewa waendelee kufanya mauaji na uharibifu zaidi katika nchi yetu. Hilo ni funzo kwamba siku nyingine mkifanya maandamano basi yawe ya amani, kisiunguzwe kituo cha polisi wala cha mwendokasi, asiuwawe polisi wala raia, isichomwe nyumba ya mtu, duka wala gari lake. Maandamano yawe ya amani tu kama kawaida.Ngoja nikuongoze na sala maalumu na nina kuhakikishia Malaika wa kisasi waliopo katika hii mbingu tuliyopo chini yake hawatakuacha salama soon watakutembelea na utapatwa na adhabu yako.
"MUNGU akulaani popote ulipo na hii naongea kutoka moyoni machozi ya huzuni na hasira yakinitoka hapa muda huu. Nakuahidi, kama vile ambavyo hakuna binadamu aliyejuu ya MUNGU ni vivyo hivyo hakuna mwanadamu atakayeamua adhabu na hatima yako, tunakabidhisha kwa MUNGU, soon utalipia hii kitu kwa nguvu ya adhabu za mbungu iliyo juu yako saa hii. Sauti za waliokufa bila hatia kwa maumivu makali na huzuni bila msaada zikamlilie MUNGU saa 24 za siku hadi pale hukumu yako itakapokufika, zitaje jina lako usiku na mchana kwa malaika wa adhabu na zikabidhishe kisasi kwa MUNGU na adhabu ya maumivu ya moyo, nafsi na mwili ikuingie taratibu ikifuate ulipo ufe bila kutubu ili usije kuona ufalme wa MUNGU ukaishi na shetani unayemtukuza saa hii na kutenda anayopenda. Amen"
Natafakari huu ujumbe."......................satutariduk allaeanat aleazimat watutariduk limudat 400 eam qadimat hataa yatima tadmir bidhratik bialkamil ................................."
Amina..MUNGU awalaani wote kuanzia aliyetoa wazo na aliyekuwa wa mwisho kutekeleza amri hii ya kishetani, laana kubwa inawajia juu yenu kwa muda mtakaokuwa hapa duniani na mfe midomo ikiwa imepinda kushoto na macho yakatae kufunga
Jaribu kushirikisha ubongo wako hapo kwa kiasi,na upunguze mawazo ya kukera na yasiyo halisiWakulaumiwa ni Mange Kimambi, na wale wote waliokaidi maagizo ya kutokuandamana siku ya uchaguzi. Maandalizi ya majeshi yetu hususani kwenye mazoezi na kauli zao za kutotaka watu wasiandamane siku ya uchaguzi, yalionesha wazi ni nini ambacho kingeenda kutokea endapo watu wangethubutu kuingiza pua zao barabarani kuandamana siku hiyo.
Sasa baadhi ya vijana ambao wengi wameshikiwa akili na Mange, akishirikiana na wakenya kadhaa walipuuza katazo la maandamano, na kujiona wana ubavu wa kuingia barabarani muda wote kuchoma vituo vyetu vya mabasi ya umma (mwendokasi), kuchoma magari ya watu, kuchoma maduka ya watu, yumba za watu, kuchoma vituo vya polisi, kuuwa polisi nk. I mean wakifikiri kwamba huo ndio ungekuwa mwisho wa serikali, hivyo hakuna atakaewafanya kitu.
Hawa watu wahakujua kwamba Mange alikuwa anawajaza upepo, huku yeye akitumia njia hiyo kupiga hela kwenye social media. Kumbuka kila alieingia kusoma, kusikiliza, na kuangalia post ya Mange Kimambi kwenye mitandao ya kijamii, iwe ni Instagram, YouTube nk hela ziliingia kwake kupitia views, subscribe nk. Wakati vijana walikuwa wanazidi kuingia barabarani kuumia, kuuwawa na wengine kukamatwa, yeye kwake ilikuwa furaha ya kuingiza mamilioni ya shilingi kupitia post zake mitandao.
Najua wapo ambao wameuwawa bila hatia, lakini je kama vijana wangesikiliza katazo la viongozi wa juu la kuwataka watu wasiandamane siku ya kupiga kura hayo yote yangetokea?
Waliambiwa wafanye maandamano yao siku nyingine ambayo sio ya uchaguzi, lkn wao wakakaidi, huku Mange akiwajaza upepo kuwa wanaweza. Sasa leo kati ya walioandamana, kuna walioacha watoto zao mayatima, huku watoto wa Mange wakiwa na wazazi wao wote wawili, kuna walioumia huku Mange akiwa mzima buheri.
Watu waliuwa polisi na kuchoma moto vituo, hivyo polisi na wao wakaona hii ishakuwa vita. Wakajihami na wao kuanza kuuwa kama wanavyouwawa. Vita haina macho na matokeo yake hata wasiohusika wakauwawa.
Waandamanaji wengine wakawa wanakimbilia vichochoroni, na kwenye makazi ya watu kujificha, hivyo polisi nao wakawa wanawarushia mabomu huko huko walipojificha, mwisho yale mabomu yakawa yanawaathiri watoto, wagonjwa na watu wengine ambao hawakuwepo kwenye maandamano. Kama waandamanaji wasingekuwa wanarushia polisi mawe, chupa na kukimbilia kujificha kwenye maeneo ya makazi ya watu basi madhara mengi yangeepukika.
Kila mchuma janga hula na nduguze. Mange kwa sasa hana cha kupoteza, ila aliowadanganya ndio waliopotea na kupotezwa. RIP kwa wote waliouwawa kwenye fujo zile.
Mkuu comments za watu kama hao jitahidi kuzipuuza tuKwahiyo unaziambia familia zilizopoteza ndugu zao zikamlaumu Mange Kimambi kwasababu ndie aliingia mitaani na kufyatulia risasi raia wasio na hatia ambao walitoka nje ya majumba yao wakihamaki nini kinaendelea huko nje (kama ni JWTZ wanachukua inchi au ni Polisi wanapiga risasi hewani kutawanya waandamanaji)?
Wewe umetumia sheria ipi kuhalalisha na kusema ni sawa kwa askari aliyepewa mafunzo ya kisheria ya kulinda raia wenzake then askari huyo huyo akatekeleza kitendo cha kinyama cha kufyatua risasi hovyo?
Mbona hao Wakenya ni mliwaona ninyi tu huku mitaani mbona raia wamekutana na watanzania wenzao tu wanaokimbia kimbia kukwepa mabomu ya machozi na risasi?
Wewe kwako raia kuuwawa imekaa sawa?
Unajua ninyi watu mnaojaribu kujustfy huu ushenzi ni mnalaana kubwa mbeleni huko?🤬
Ngoja nikuongoze na sala maalumu na nina kuhakikishia Malaika wa kisasi waliopo katika hii mbingu tuliyopo chini yake hawatakuacha salama soon watakutembelea na utapatwa na adhabu yako.
"MUNGU akulaani popote ulipo na hii naongea kutoka moyoni machozi ya huzuni na hasira yakinitoka hapa muda huu. Nakuahidi, kama vile ambavyo hakuna binadamu aliyejuu ya MUNGU ni vivyo hivyo hakuna mwanadamu atakayeamua adhabu na hatima yako, tunakabidhisha kwa MUNGU, soon utalipia hii kitu kwa nguvu ya adhabu za mbungu iliyo juu yako saa hii. Sauti za waliokufa bila hatia kwa maumivu makali na huzuni bila msaada zikamlilie MUNGU saa 24 za siku hadi pale hukumu yako itakapokufika, zitaje jina lako usiku na mchana kwa malaika wa adhabu na zikabidhishe kisasi kwa MUNGU na adhabu ya maumivu ya moyo, nafsi na mwili ikuingie taratibu ikifuate ulipo ufe bila kutubu ili usije kuona ufalme wa MUNGU ukaishi na shetani unayemtukuza saa hii na kutenda anayopenda. Amen"
Sikushangai kwa sababu siku zote mwendawazimu humuona mwenye akili chizi. Na ndiomaana wewe unaniambie mimi nishirikishe ubongo wangu, huku wewe ukiwa umeshirikisha ubongo wa lile danga Mange Kimambi katika maamuzi na fikra zako.Jaribu kushirikisha ubongo wako hapo kwa kiasi,na upunguze mawazo ya kukera na yasiyo halisi
Hivyo kwa akili yako na yenu hayo yana justify kuuwa,kuteka,kutesa nakadhalika,badala ya kujua vyanzo vya matatizo na kuvitafutia ufumbuzi?Sikushangai kwa sababu siku zote mwendawazimu humuona mwenye akili chizi. Na ndiomaana wewe unaniambie mimi nishirikishe ubongo wangu, huku wewe ukiwa umeshirikisha ubongo wa lile danga Mange Kimambi katika maamuzi na fikra zako.
Maandamano yaliofanyika kila mtu aliyaona. Waandamanaji walichoma vituo vya watu vya mafuta, waandamanaji walivunja na wengine walichoma nyumba, maduka na magari ya watu, waandamanaji walichoma mali zetu za umma kama vile mabasi ya mwendokasi, vituo vya mabasi yetu ya mwendokasi, waandamanaji walichoma vituo vya polisi, magari ya polisi na kuuwa mapolisi halafu wewe unategemea hao polisi waliochomewa vituo na kuuwawa wangekaa tu kuwakenulia meno watu wa namna hiyo!
Sasa kwamna walivyokuwa wameshaanza kusambaa kuchoma choma nyumba na magari moto hovyo kama wangeachiwa leo hii si mkoa mzima wa Dar es salaam ungekuwa majivu. Na kama kuna watu wangekuwa ndani ya hizo nyumba saa hizi hali ingekuaje na walisalimika kutoka ndani ya hizo nyumba wangeishi wapi?
Tumia akili yako ya kuzaliwa kufikiri, na sio kuruhusu mwanamke tena danga likushikie akili na kukufanya zuzu bila kutambua madhara ya kile anachotaka ukifanye.
Pole sana mkuu. Sote tunaomboleza kuuawa kwa ndugu na majirani zetu kwa risasi za moto kutoka kwa poliCCM. Mungu azidi kutupigania na kutupa uvumilivu wa kukabiliana na hii hali.Habarini ndugu watanzania wenzangu. Huu ni uzi wangu wa kwanza tokea niweke uzi wa mwisho hapa kwasababu niliacha kuandika kwa muda ili kupisha harakati na purukushani za uchaguzi kupita.
Nawasalimia nikiwa na huzuni kubwa sana moyoni kutokana na misiba mingi ya ndugu,jamaa, marafiki na majirani ambayo imetuzunguka na la kusikitisha ni kuwa misiba hii mingi tunaishiriki bila kuwa na maziko kwasababu tumetafuta miili ya wapendwa wetu katika mahospitali yote tulipoelekezwa bila kufanikiwa kuipata na hivyo basi tumeshiriki ibada na Dua bila miili kwa baadhi ya misiba hii.
Kwa kifupi bado nipo katika wiki ya kimaombolezo sipo sawa kabisa kiakili kwa sasa, akili yangu imejawa huzuni,butwaa, mshangao, ganzi, vitendawili visivyo na majibu, nimekuwa mtu wa kukaa pekee yangu mara nyingi nikijaribu kujiweka sawa kwasababu nikisikiliza watu wakisema maisha yamerudi mimi natafakari wale majirani zangu ambao wameuwawa na jinsi taarifa za misiba yao zilitufikia, natafakari kilichotokea kama kilikuwa na ulazima wowote kufanywa mbona wengi wa waliotutoka ni responsible citizens wa Dar es salaam na hawana hata shughuli zozote za kihalifu au siasa za visasi na pande zozote bali ni makabwela wa kufanya shughuli za kujikimu "hand to mouth life style"?
Ukiwa hauna hata chembe ya ubinadamu na utimamu wa kiakili utalinganisha uharibifu wa miundo mbinu ya mwendo kasi,majengo ya serikali na uhai wa mwanadamu. Hivi ni vitu viwili tofauti na havifanani kwa hadhi hata kidogo. Majengo na miundo mbinu tunaweza kuijenga upya na kurudisha mvuto wake uliopotea au tunaweza kutengeneza miundo mbinu ya kisasa zaidi kushinda ile ya kwanza. Ila nambie, ni wapi utanunua au kupata uwezo wa kurejesha hawa ndugu, jamaa, majirani na marafiki walio uwawa?
Natoa onyo kali kwa wale waoleta hoja za kipumbavu kujustify uwendawazimu uliotokea kuwa ni kwa mujibu wa sheria na watekelezaji walikuwa wanalinda usalama wa inchi, njoo nikuonyeshe familia ambazo hawajui mama zao na baba zao wapo wapi hadi sasa wametuachia mayatima na wajane wakiwa hawaamini kilichotokea.
Watoto wetu wamekuwa traumatized na mabomu na milio ya risasi iliyokuwa inapigwa mfululizo as if nyumba zetu zimejengwa kwenye viwanja vya shabaha za mazoezi ya kulenga risasi na mabomu. Watoto wetu na familia zilipaliwa na moshi mkali wa mabomu ya machozi. Nani anaweza kuruhusu ushenzi wa kiwango hiki kwa raia watulivu kama wa tanzania?
Nipo kwenye maombolezo kwasasa sijui nitamaliza lini ila itanichukua muda mrefu sana kukubaliana na ukweli kuwa mambo yalikuwa hivi na haikuwa ndoto.
MUNGU awalaani wote kuanzia aliyetoa wazo na aliyekuwa wa mwisho kutekeleza amri hii ya kishetani, laana kubwa inawajia juu yenu kwa muda mtakaokuwa hapa duniani na mfe midomo ikiwa imepinda kushoto na macho yakatae kufunga.
"......................satutariduk allaeanat aleazimat watutariduk limudat 400 eam qadimat hataa yatima tadmir bidhratik bialkamil ................................."
mkitoka ku¥irwa muwe mnatuliza akili kabla ya kuja kuchangia mafi huku jfSikushangai kwa sababu siku zote mwendawazimu humuona mwenye akili chizi. Na ndiomaana wewe unaniambie mimi nishirikishe ubongo wangu, huku wewe ukiwa umeshirikisha ubongo wa lile danga Mange Kimambi katika maamuzi na fikra zako.
Maandamano yaliofanyika kila mtu aliyaona. Waandamanaji walichoma vituo vya watu vya mafuta, waandamanaji walivunja na wengine walichoma nyumba, maduka na magari ya watu, waandamanaji walichoma mali zetu za umma kama vile mabasi ya mwendokasi, vituo vya mabasi yetu ya mwendokasi, waandamanaji walichoma vituo vya polisi, magari ya polisi na kuuwa mapolisi halafu wewe unategemea hao polisi waliochomewa vituo na kuuwawa wangekaa tu kuwakenulia meno watu wa namna hiyo!
Sasa kwamna walivyokuwa wameshaanza kusambaa kuchoma choma nyumba na magari moto hovyo kama wangeachiwa leo hii si mkoa mzima wa Dar es salaam ungekuwa majivu. Na kama kuna watu wangekuwa ndani ya hizo nyumba saa hizi hali ingekuaje na walisalimika kutoka ndani ya hizo nyumba wangeishi wapi?
Tumia akili yako ya kuzaliwa kufikiri, na sio kuruhusu mwanamke tena danga likushikie akili na kukufanya zuzu bila kutambua madhara ya kile anachotaka ukifanye.
Sikufahamu, ila kwa haya uliyoyaandika nakuogopa, kwani yanaonyesha una roho ngumu sana, mbaya sana na ya kikatili sana!Wakulaumiwa ni Mange Kimambi, na wale wote waliokaidi maagizo ya kutokuandamana siku ya uchaguzi. Maandalizi ya majeshi yetu hususani kwenye mazoezi na kauli zao za kutotaka watu wasiandamane siku ya uchaguzi, yalionesha wazi ni nini ambacho kingeenda kutokea endapo watu wangethubutu kuingiza pua zao barabarani kuandamana siku hiyo.
Sasa baadhi ya vijana ambao wengi wameshikiwa akili na Mange, akishirikiana na wakenya kadhaa walipuuza katazo la maandamano, na kujiona wana ubavu wa kuingia barabarani muda wote kuchoma vituo vyetu vya mabasi ya umma (mwendokasi), kuchoma magari ya watu, kuchoma maduka ya watu, yumba za watu, kuchoma vituo vya polisi, kuuwa polisi nk. I mean wakifikiri kwamba huo ndio ungekuwa mwisho wa serikali, hivyo hakuna atakaewafanya kitu.
Hawa watu wahakujua kwamba Mange alikuwa anawajaza upepo, huku yeye akitumia njia hiyo kupiga hela kwenye social media. Kumbuka kila alieingia kusoma, kusikiliza, na kuangalia post ya Mange Kimambi kwenye mitandao ya kijamii, iwe ni Instagram, YouTube nk hela ziliingia kwake kupitia views, subscribe nk. Wakati vijana walikuwa wanazidi kuingia barabarani kuumia, kuuwawa na wengine kukamatwa, yeye kwake ilikuwa furaha ya kuingiza mamilioni ya shilingi kupitia post zake mitandao.
Najua wapo ambao wameuwawa bila hatia, lakini je kama vijana wangesikiliza katazo la viongozi wa juu la kuwataka watu wasiandamane siku ya kupiga kura hayo yote yangetokea?
Waliambiwa wafanye maandamano yao siku nyingine ambayo sio ya uchaguzi, lkn wao wakakaidi, huku Mange akiwajaza upepo kuwa wanaweza. Sasa leo kati ya walioandamana, kuna walioacha watoto zao mayatima, huku watoto wa Mange wakiwa na wazazi wao wote wawili, kuna walioumia huku Mange akiwa mzima buheri.
Watu waliuwa polisi na kuchoma moto vituo, hivyo polisi na wao wakaona hii ishakuwa vita. Wakajihami na wao kuanza kuuwa kama wanavyouwawa. Vita haina macho na matokeo yake hata wasiohusika wakauwawa.
Waandamanaji wengine wakawa wanakimbilia vichochoroni, na kwenye makazi ya watu kujificha, hivyo polisi nao wakawa wanawarushia mabomu huko huko walipojificha, mwisho yale mabomu yakawa yanawaathiri watoto, wagonjwa na watu wengine ambao hawakuwepo kwenye maandamano. Kama waandamanaji wasingekuwa wanarushia polisi mawe, chupa na kukimbilia kujificha kwenye maeneo ya makazi ya watu basi madhara mengi yangeepukika.
Kila mchuma janga hula na nduguze. Mange kwa sasa hana cha kupoteza, ila aliowadanganya ndio waliopotea na kupotezwa. RIP kwa wote waliouwawa kwenye fujo zile.
Unadhani kwanini katika maeneo yote hatujasikia waandamanaji wameua mwana Jeshi mwenye uniform hata mmoja?Mange Kimambi hakuingia mtaani na angekuwa bongo wala asingeweza kuthubutu kuingia mitaani kwa sababu anaogopa kufa, kukamatwa au kujeruhiwa. Ndiomaana hata Yale maandamano yaliofanyika Marekani yeye hakutia mguu kwa kisingizio kwamba alipata habari utauwawa.
Sasa yeye aliogopa kuuwawa lkn akawa set wenzie waingie barabarani bila kujali kama watauwawa, watakamatwa au kuumizwa as long as yeye atapiga Hela kupitia kwenye social media zote kuhusu swala hilo.
Watu wamechoma vituo vya polisi, wameuwa polisi, wamechoma vituo vya mwendokasi, wamechoma maduka ya watu, sheli za watu, magari ya watu, nyumba za watu alaf wewe unajifanya hauoni walichokifanya!
Jeshi wachukue nchi Ubungo? Kwani Ubungo ndio kuna ikulu ya raisi, redio ya taifa au uwanja wa ndege kusema aliepinduliwa asikimbie? Mbona hoja zako ni za hovyo sana!
Watu wanachoma vituo vya polisi wanaua polisi alafu polisi huyo huyo awalinde wanaumuua? Ile ilikuwa ni kama vile vita, yani polisi akizubaa muandamanaji anapita nae, na muandamanaji akizubaa polisi anapita nae. Raia walitakiwa watulie nyumbani baada ya kupiga kura, au kutokupiga kura, sasa walitokaje kwenda kujichanganya na wachoma vituo vya polisi wakati washatangaziwa kutotoka nje?
Kwamba ulitaka waandamanaji wachome vitu, wauwe polisi kisha polisi waendelee kuwakenulia meno?
Kwenye msafara wa Mamba Kenge nao wapo. Kwa mihemko ile hapakuwa na mtu wa kutaka kumchunguza alie pembeni yake kuwa ni mkenya, mganda au mburundi. Wote lao lilikuwa moja tu kuchoma vituo vya mabasi, nyumba maduka, kuangusha utawala wa kisheria nk kama walivyohamasishwa na Mange. Baada ya kukamatwa na kuhojiwa vizuri ndo wengi wakajulikana huko.
Sio sawa, lkn hao raia nani kawatuma kuchoma vituo vya polisi na mwendokasi moto? Nani kawatuma kuuwa polisi, kuchoma nyumba, maduka na gari za watu moto?
Hata na wewe unalaana na unalijua hilo, ila kwa vile una mlengo wako uliochagua, unajifanya wewe na wale waliochoma vituo kwamba ni Malaika.
Wewe acha ujinga uliopandikizwa na lile dangaji la USA. Siku zote ukiuwa kwa upanga basi na wewe utakufa kwa upanga. Usitegemee watu waliohamasishwa kuuwa polisi na kuchoma vitu moto wangechekewa waendelee kufanya mauaji na uharibifu zaidi katika nchi yetu. Hilo ni funzo kwamba siku nyingine mkifanya maandamano basi yawe ya amani, kisiunguzwe kituo cha polisi wala cha mwendokasi, asiuwawe polisi wala raia, isichomwe nyumba ya mtu, duka wala gari lake. Maandamano yawe ya amani tu kama kawaida.
Hiki ulichoandika hapo chini ni dua la Kuku kamwe halimpati mwewe.
Utii wa Sheria bila ShurutiHabarini ndugu watanzania wenzangu. Huu ni uzi wangu wa kwanza tokea niweke uzi wa mwisho hapa kwasababu niliacha kuandika kwa muda ili kupisha harakati na purukushani za uchaguzi kupita.