Hii ni mbaya sana na imetuacha pabaya zaidi kama raia

Pole sana mkuu.
Infact hali inayoendelea nchini Inasikitisha.

Ila kuendelea kumuweka Mungu kama suluhisho hilo siyo suluhisho, It's just a diffensive mechanism ya kupambana na chuki na huzuni.
At least our fellows have tried ✊🏾

Ukatili na Udhalimu ulianza zamani sana, Just imagine mauaji ya kwenye vita tofauti, Ukatili unaotokana na udini, Unyonywaji wa nchi masikini na mengineyo ila wanaosababisha ndiyo kwanza wanazidi kuwa resourcefull and powerfull.
Where is that all powerfull and all love God?

Sasa kipi kinawafanya mfikiri kwamba Mungu mwenye historia ya kufumbia macho maovu makubwa atalifanyia kazi hili?
 
Nani ameua WATU???
 
Nani ameua WATU???
Waandamanaji... Tena hawajaua polisi tu bali wamechoma vituo vya polisi, wamechoma magari ya polisi, wamechoma petrol station na magari ya watu wasiokuwa na hatia. I mean magari yote yaliokuwa yamepaki au kwenda kujaza mafuta kwenye petrol station hizo yameungua, wamechoma maduka na nyumba za watu, wameharibu miundombinu yetu ya umma kama vile kuchoma vituo vya mwendokasi na mabasi ya mwendokasi, wamechoma malori na mabasi ya watu binafsi, wamevunja na kuiba kwenye maduka mbali mbali. Ni mengi sana yaliofanywa na nyumbu wa Mange na genge lake kiasi ya kwamba kama una akili timamu kamwe hauwezi kuwasapoti wote waliofanya unyama huu.
 
Hivyo vituo vya polisi ulijega wewe kwa pesa yako????
 
Pole sana mkuu, yaliyitokea yametuumiza wengi wetu, hii week imekua ngumu sana kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…