Jambo wadau,
mzunguko wa wife ni siku 26 mara nyingi japo kuna time zinakua 28. Mimi nimempa haki yake siku ya 12,13,14,15 yani nilikua kila asubuhi nadukua kamoja tu mpaka kesho kamoja tena kwa hizo siku 4.
Sasa leo ndo siku yake ya 26 tumepima imesoma negativ ila anasema kiuno kinamuuma je yawezekana ikawa ni mimba?
Kawaida akikaribiaga hedhi anatoka kipele usoni,matiti yanauma na kiuno lakini kwa sasa usoni yuko poa hana kipele wala matiti hayaumi ila kiuno tu ndo kinamsumbua anasema kina kaza.
Wataalam hebu nambieni kunani hapa.