Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
kwa masikitiko makubwa kabisa mke wangu ameanza mp leo yani nimeloa hata siamini nachokiona. Mzunguko wake kila mwez ni siku 26 maajabu haya eti leo imekuja siku ya 35 kwa mara ya kwanza ktk maisha yake. Hebu nishaurini wadau nahitaji sana mtoto kuna tatzo gani hapa na kwa huu mzunguko mpya je siku za hatari zitakua lini
Siku ya ishirini ndio siku ya mimba