Hii ni miwani aina gani na inatibu tatizo gani la macho?

Boeing787-8

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
1,155
Reaction score
1,209
Hello,

Miwani hii pichani, niliichukuwa Ili niivae kama fashion, maana ililetwa na donors Kwa NGO niliyokuwa nafanya kazi

Sasa one day nilizijalibisha, aisee kama huna shida ya macho huwezi kuzivaa ukatembea umbali mrefu, zinaonekana Zina lens Kali.

Kwa dakitari wa macho, hizi ni miwani gani na zinatibu tatizo gani?

Msaada tafadhari

 
Miwani hiyo siyo lenzi yako. Tupa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…