jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
Vaa tu bro inaongeza nguvu za kiumeHello,
Miwani hii pichani, niliichukuwa Ili niivae kama fashion, maana ililetwa na donors Kwa NGO niliyokuwa nafanya kazi
Sasa one day nilizijalibisha, aisee kama huna shida ya macho huwezi kuzivaa ukatembea umbali mrefu, zinaonekana Zina lens Kali.
Kwa dakitari wa macho, hizi ni miwani gani na zinatibu tatizo gani?
Msaada tafadhari
View attachment 3044005View attachment 3044006View attachment 3044007