Hii ni miwani aina gani na inatibu tatizo gani la macho?

Kijana si umesema umepewa na watu wa NG'os eeenh yani wazungu zungu? Haya sawa sisi tupo
 
Kuna wakati niliwahi kujivalia miwani jamii hiyo njia nzima nilikuwa naruka mashimo.
 
Mkuu
Wataalam Wanakuja Ila Hutakiwi Kutumia Miwani Yoyote Hata Tinted
Mpaka Ufanyiwe Vipimo Ndiyo UtAambiwa Inayokufaa Kuitumia
 
Miwani ni stara ya macho iwe unaumwa macho au huumwi macho kama ambavyo unavaa nguo na kujistiri........

Mazingira yetu tunayoishi yanachangia sana kuharibu macho yetu kwa namna moja au nyingine...... kuanzia miale ya mwanga hatari....mavumbi mabaya yaliyobeba wadodo wasioonekana......

Hivyo ni vyema kuvaa miwani hata Ile ya plain ili kuyalinda macho.........

Kama unakaa sana pahala penye jua kali basi jitahidi walau uvae miwani ya kupunguza miale ya jua machoni.....vivo hivyo kwenye mazingira mengine yanayoathiri macho......

Macho ni taa ya ulimwengu hivyo hatuna budi kuyalinda......

NB;
Zingatia maelekezo ya wataalamu
 
Hapa wengi hawatakuelewa lakini ndio ukweli wenyewe.

Majaribio ni simple tu, vaa miwani kwa masaa mawili tu vuwa iangalie utaona vumbi unatakiwa uifute vumbi, sasa jiulize ukiwa haujavaa miwani lile vumbi huwa linakwenda wapi?

Ni afadhali wazungu wasivae miwani kwa sababu kwao hakuna vumbi wala huwezi kuona mchanga, lakini Bongo miwani ni lazima.

Mimi nina pair zaidi ya 10 za miwani.
 
Duuu njoo nkuuzie na izo
 
Duuu njoo nkuuzie na izo
Sasa si bora ingekuwa ni sunglass unaweza kuniuzia kama ni brand kubwa,

Lakini hiyo ni miwani ya wagonjwa wa macho kwa vipimo maalum, labda kama hiyo fremu ni quality uuze fremu.
 
Kweli ndugu yangu.....

Kwa mazingira ya bongo hata siwezi kutembea nje ya mazingira ya nyumbani bila kuvaa miwani.......

Tatizo la wabongo wanaishi kwa mazoea na majungu.......wanaona kuvaa miwani kama ni status flani hivi.......
 
Aliyekudanganya miwani inatibu macho ni nani?
Baada ya kufanyiwa operation ya mtoto wa jicho nikajikuta jicho moja linaona balaa kama roboti, tarehe ya kurudi kumwona daktari nikamwelezea ghafla kaniweka kwenye kifaa, kuuliza, eti anaangalia lenz ya miwani itakayonifaa..

Nikajisemea moyo hii biashara hii.
Nikamwambia achana nayo.

Ila linanisaidia maana kwenye mishe zangu, hata resistor iwe chawa kiasi gani, iwe digits au color code zinakaa..
 
hiyo ni miwan ya macho hua inatolewa kwa ajili ya watu wenye shida ya presbyopia yan wenye shida ya kusoma na hyperope ambao hawaon karid kwamsaada zaid piga 0776371092
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…