Hii ni moja kati ya kasumba zangu 32

Hii ni moja kati ya kasumba zangu 32

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,952
Zilikuwa zipo 37 lakini nashkuru nimeacha tano na sasa zimebaki 32 (Namshkuru Mungu)

Habari za mchana waungana, bila shaka hamjambo (Kazi iendelee)

Wanauliza kwanini unaitwa mzee wa kasumba? Jibu ni kwamba nina kasumba nyingi ambazo hata nyingine mimi mwenyewe zinanikera kwakweli (Natafuta namna ya kuacha)

Imeelezwa hapo juu ya kwamba kasumba zangu zilikuwa 37 kati ya hizo 5 nilibahatika kuziacha kabisa. Sasa zimebaki thelathini na mbili taslimu.

Moja katika hizo ambayo hata mimi mwenyewe siipendi ni kitendo cha "KUPENDA PENDA KUTONGOZA OVYO"

Nasemaje?
Sio kupenda kutongoza bali ni kupenda kutongoza ovyo bila kuangalia vigezo wala masharti wala mazingira.

Majuto huja baada ya aidha kukataliwa au kukubaliwa na wakati huo mwanamke alikuwa m boovu.

JUZI
Nimejikuta namtongoza mama mmoja mtu mzima wa miaka kama 50 hivi. Alinipiga jicho hilo, dah nkasema leo nimeyavagaa... Lakini ile reaction yake kwangu ilikuwa ni chachu ya maendeleo.

Niliendelea kukaza na hatimaye akaonesha kukubali pamoja na mitusi mingi sana. Hapa naona ujumbe wake ukisema UTANIWEZA WE DOGO? (Majibu ndio yalimfanya anipe ahadi baada ya yule mzee wake wa bank kuondoka kwenda kwenye ziara yake mikoani huko nadhani nitammung'unyua ipasavyo.

LEO
Nimekumba cha mtema kuni baada ya kukutwa na jamaa nikimtongoza dada mmoja kumbe ni demu wake.

Ilikuwa mgahawani nimemkuta anakula, alafu nikamfata yule dada na kuanza kumuongelesha masikioni, akawa anaanza kuona utamu. Kumbe bwana ake alikuwa hayupo mbali mwee[emoji16]

Jamaa lilimwaga mitusi kishenzi huku linafoka foka... "Mtakuja kufia kwenye mikono ya watu......nyie)

Mjinga uyooo nikajikata taratiiiibu.

Basi imekuwa tafarani. Yani nikiona mwanamke tu basi nawaza kumtongoza (sio kichukua namba kwanza) napima swaga.

Siku hizi sichukui namba kwanza mpaka nimtongoze macho kwa macho akubali au akatae.

Sasa nahisi hii mambo itakuja kunikosti. Na hii ni moja ya kasumba ninazoziona kwangu.

Kasumba zilizobaki nitazielezea siku nyingine yakinikuta[emoji16]

NAIACHAJE hii??
 
Kumbe ni wewe[emoji34][emoji34] na yule jamaa angekutia bisu la tumbo,bahati yako ulijikataa[emoji41]
 
Back
Top Bottom