Hii ni moja kati ya kasumba zangu 32

Hii ni moja kati ya kasumba zangu 32

Mzee wa Kasumba umeshapata kazi au ndiyo unafanya kazi ya kutongoza tu?
Kutongoza kuko nje ya kazi kabisa mkuu. Hii ni kama pumzi. Yaani uwe na kazi wala usiwe na kazi utapumua mpaka utakapo kufa.

Okey
Sema nini mwanangu. BADO SIJAPATA KAZI
 
Back
Top Bottom