Hii ni moja kati ya kasumba zangu 32

Ukitaka kuacha kutongoza basi nenda chamani CHAPUTA,mwanaume kamili hawez kukaa wk mbili bila kutongoza...mda mwingne mm huwa nafanya kama kunoa mdomo vile[emoji23][emoji23]
Nguvu moja[emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Asante kwa taarifa mkuu.

Usisahau kuleta mrejesho zaidi wa kasumba.
 
Zilikuwa zipo 37 lakini nashkuru nimeacha tano na sasa zimebaki 32 (Namshkuru Mungu)

Habari za mchana waungana, bila shaka hamjambo (Kazi iendelee)
Hongera sana ,hivi unajua kuwa wapo wanaume amabao hata hayo mawazo na ujasiri wa kumtongoza mwanamke hawana ? kama unajiona kuwa umepitiliza kutongoza hovyo basi punguza maana siwezi sema uache kabisa
 
Hapa nimekuelewa mkuu[emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…