S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 9,266 Reaction score 7,426 Aug 20, 2021 #41 Mzee wa Kasumba umeshapata kazi au ndiyo unafanya kazi ya kutongoza tu?
mzee wa kasumba JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 1,440 Reaction score 2,952 Aug 20, 2021 Thread starter #42 Superb2014 said: Mzee wa Kasumba umeshapata kazi au ndiyo unafanya kazi ya kutongoza tu? Click to expand... Kutongoza kuko nje ya kazi kabisa mkuu. Hii ni kama pumzi. Yaani uwe na kazi wala usiwe na kazi utapumua mpaka utakapo kufa. Okey Sema nini mwanangu. BADO SIJAPATA KAZI
Superb2014 said: Mzee wa Kasumba umeshapata kazi au ndiyo unafanya kazi ya kutongoza tu? Click to expand... Kutongoza kuko nje ya kazi kabisa mkuu. Hii ni kama pumzi. Yaani uwe na kazi wala usiwe na kazi utapumua mpaka utakapo kufa. Okey Sema nini mwanangu. BADO SIJAPATA KAZI