Hii ni moja ya mechi zenye tokeo moja, ama sivyo Ban Inahusika

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Si wanasema mpira una matokeo matatu? Hii match dhidi ya mashujaa ni TOKEO MOJA TU. YANGA INASHINDA.BASI. HAMNA JINGINE.
AU KAMA NI MATOKEO MATATU BASI
1. YANGA INASHINDA
2. YANGA ITAIFUNGA MASHUJAA
3. YANGA ITAISHENYENTA MASHUJAA

Kinyume na hapo moderatora niwapige ban ya siku 3.
 
Mpira ni dk 90, mchezaji analipwa milioni 35 za kitanzania eti hana nishati
 
Si wanasema mpira una matokeo matatu? Hii match dhidi ya mashujaa ni TOKEO MOJA TU. YANGA INASHINDA.BASI. HAMNA JINGINE.
AU KAMA NI MATOKEO MATATU BASI
1. YANGA INASHINDA
2. YANGA ITAIFUNGA MASHUJAA
3. YANGA ITAISHENYENTA MASHUJAA

Kinyume na hapo moderatora niwapige ban ya siku 3.

Ama Sivyo Mzee Saidi Chakinoris Afukuzwe.. ! Hatutavumilia matokeo kinyume na hayo..

Safari hii tunatanguliza Ombi kuomba kusamehewa kbs ikiwa vinginevyo.!
 
Hii mechi inatakiwa Yanga kushinda! Maana hakuna namna nyingine.
 
Si wanasema mpira una matokeo matatu? Hii match dhidi ya mashujaa ni TOKEO MOJA TU. YANGA INASHINDA.BASI. HAMNA JINGINE.
AU KAMA NI MATOKEO MATATU BASI
1. YANGA INASHINDA
2. YANGA ITAIFUNGA MASHUJAA
3. YANGA ITAISHENYENTA MASHUJAA

Kinyume na hapo moderatora niwapige ban ya siku 3.
wao hawaogopi kwamba Yanga hii unaifungaje na Dube anatupia
 
Si wanasema mpira una matokeo matatu? Hii match dhidi ya mashujaa ni TOKEO MOJA TU. YANGA INASHINDA.BASI. HAMNA JINGINE.
AU KAMA NI MATOKEO MATATU BASI
1. YANGA INASHINDA
2. YANGA ITAIFUNGA MASHUJAA
3. YANGA ITAISHENYENTA MASHUJAA

Kinyume na hapo moderatora niwapige ban ya siku 3.
Kwa hiyo unawapiga ban mod au sio?
 
Back
Top Bottom