mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Wakifika kwenye hii comment, wanafumba macho!Hii haijawahi KuvunjwaView attachment 2565353
.Hii haijawahi KuvunjwaView attachment 2565353
Mwongo!! Timu nyingi tu hufungwa zaidi ya goli tano halafu bila aibu unasema haijawahi vunjwa!! Juzi tu horoya kapigwa wiki bila ie 7-0, au unajifanya haujui!Hii haijawahi KuvunjwaView attachment 2565353
Napiga kwenye mshono.View attachment 2565377
Sema ambapo haijavunjwa, chagua kwenye Ligi ya Bara au kimataifa, popote utaonyeshwa 😀Hii haijawahi Kuvunjwa
Kama anashikilia hiyo rekodi maana yake ana ubora tayari, we utapata wapi hiyo rekodi wakati hata kushiriki tu hujawahi, means huna hata ubora wa kushiriki tu hilo kombeHii ni rekodi inayoshikiliwa na Yanga hadi sasa. Ni timu iliyowahi kufungwa magoli mengi zaidi kuliko timu yoyote kwenye hatua ya makundi kwenye ligi nya mabingwa CAF. Ilifungwa magoli 19 kwenye mechi 6 na ikaburuza mkia!! Hii ilikuwa mwaka 1998.
Most goals conceded in group stage (single season): 19
Young Africans SCin 1998
Hadi leo haijawahi kutokea timu ikafungwa magoli mengi hivyo kwenye hatua hiyo ya makundi CAF champions league!!
rekodi ya kufungwa goli 14 katika mechi tatu ndiyo inayozungumziwa!!Mwongo!! Timu nyingi tu hufungwa zaidi ya goli tano halafu bila aibu unasema haijawahi vunjwa!! Juzi tu horoya kapigwa wiki bila ie 7-0, au unajifanya haujui!
Tumia kabisa hii picha,maana Simba anaenda hukohuko,huenda pakawa na 8Hapa vipi?
18 September 1998
Huyu aitwaye Yanga rekodi yake ni ya kutukuka!