Hii ni moja ya sababu kwanini CCM hii na serikali yake wanapaswa kuondolewa madarakani katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu

Hii ni moja ya sababu kwanini CCM hii na serikali yake wanapaswa kuondolewa madarakani katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
POLICE WAKAMATA WANACHAMA WA ACT WAZALENDO MASASI

Ziara ya mwenyekiti wa ACT WAZALENDO ndugu Maalim Seifu Sharifu Hamad leo alifika Masasi na kufanya kikao cha ndani mara baada ya kuondoka ukumbini hapo police walivamia na kukamata wanachama na viongozi 14 pamoja na mtoto-ACT Wazalendo on twitter.
 
Kuiondoa ccm madarakani mwaka huu haiwezekani, pambaneni mwakani ruzuku isipungue.

Assume kusoma hujui, hata picha huoni?
 
Ccm haitakuja ondoka hata siku moja kama mkiendelea kulialia mtandaoni
 
Back
Top Bottom