S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Jul 23, 2020 #1 POLICE WAKAMATA WANACHAMA WA ACT WAZALENDO MASASI Ziara ya mwenyekiti wa ACT WAZALENDO ndugu Maalim Seifu Sharifu Hamad leo alifika Masasi na kufanya kikao cha ndani mara baada ya kuondoka ukumbini hapo police walivamia na kukamata wanachama na viongozi 14 pamoja na mtoto-ACT Wazalendo on twitter.
POLICE WAKAMATA WANACHAMA WA ACT WAZALENDO MASASI Ziara ya mwenyekiti wa ACT WAZALENDO ndugu Maalim Seifu Sharifu Hamad leo alifika Masasi na kufanya kikao cha ndani mara baada ya kuondoka ukumbini hapo police walivamia na kukamata wanachama na viongozi 14 pamoja na mtoto-ACT Wazalendo on twitter.
U Uttarra JF-Expert Member Joined Jan 5, 2019 Posts 468 Reaction score 783 Jul 23, 2020 #2 Kuiondoa ccm madarakani mwaka huu haiwezekani, pambaneni mwakani ruzuku isipungue. Assume kusoma hujui, hata picha huoni?
Kuiondoa ccm madarakani mwaka huu haiwezekani, pambaneni mwakani ruzuku isipungue. Assume kusoma hujui, hata picha huoni?
Zero Hours JF-Expert Member Joined Apr 1, 2011 Posts 12,942 Reaction score 18,669 Aug 15, 2020 #3 Ccm haitakuja ondoka hata siku moja kama mkiendelea kulialia mtandaoni
Tall Guy fam JF-Expert Member Joined Jan 16, 2017 Posts 917 Reaction score 1,093 Aug 15, 2020 #4 Zero Hours said: Ccm haitakuja ondoka hata siku moja kama mkiendelea kulialia mtandaoni Click to expand... Ni kweli, inahitajika vitendo
Zero Hours said: Ccm haitakuja ondoka hata siku moja kama mkiendelea kulialia mtandaoni Click to expand... Ni kweli, inahitajika vitendo
M MWAMFUPE JF-Expert Member Joined Oct 30, 2013 Posts 942 Reaction score 1,133 Aug 15, 2020 #5 Tall Guy fam said: Ni kweli, inahitajika vitendo Click to expand... vio vitendo tu, na uwekezaji wa kutosha
Tall Guy fam said: Ni kweli, inahitajika vitendo Click to expand... vio vitendo tu, na uwekezaji wa kutosha
Jafari Haruna JF-Expert Member Joined Jun 18, 2017 Posts 347 Reaction score 961 Aug 15, 2020 #6 Ndoto za Mlevi