Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
The Gods must be crazyKwa wahenga tu, unakumbuka jina la hii movie...View attachment 2551096
Thread closedThe Gods must be crazy
Part 2The Gods must be crazy
Sisi tulikuwa tunaita movie ya Asukenye huko Mbeya. Sijui hata maana yake ni nini aseπIla bongo kuna raha yake sana kuna sehemu wanaiita bushman, kwengine utasikia movie ya ndorobo yani hovyo hovyo. God must be crazy
Chupa yenyewe ya coca colaShida ililetwa na chupa iliyodondoshwa kutoka angani kwenye ndege
Chupa yenyewe ya coca cola
π
Ova