Hii ni nchi gani ambayo maghorofa yanafika hadi mawinguni?

Hii ni nchi gani ambayo maghorofa yanafika hadi mawinguni?

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Mniambie kwa kina nisije kuwa nimepigwa na kitu kizito. Ni kweli kuna nchi ina majengo marefu kiasi kwamba yapite usawa wa Mawingu😅😅

Kuna watu wanamchokoza Mungu, tusije letewa yale yale ya mnara wa Babeli
FB_IMG_1691307740822.jpg
 
Dunia ya sasa ya CGI usiamini sana unachokiona kwa macho; picha yoyote inaweza kutengenezwa photo-realistically, so long as una muda na computing power...

Sisemi kwamba hio ni uongo bali hata ikiwa kweli kazi hio inaweza kufanywa na CGI
 
Back
Top Bottom