Nyuki Mdogo JF-Expert Member Joined Oct 31, 2021 Posts 4,134 Reaction score 10,644 Aug 6, 2023 Thread starter #21 Mwachiluwi said: Haya ujui ndani ya tz kunasehemu I inaitwa Morocco? Click to expand... We nae una uandishi mbovu kishenz hivi huwa hujishtukii?
Mwachiluwi said: Haya ujui ndani ya tz kunasehemu I inaitwa Morocco? Click to expand... We nae una uandishi mbovu kishenz hivi huwa hujishtukii?
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 25,258 Reaction score 48,589 Aug 6, 2023 #22 Ahahahaa sawa Joanah said: Msamehe bure Sio kila kiumbe JF kinatokea Dar Click to expand...
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 25,258 Reaction score 48,589 Aug 6, 2023 #23 The Icebreaker said: Pia kule Manzese kuna sehemu inaitwa Argentina. Click to expand... Na Palestina
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 25,258 Reaction score 48,589 Aug 6, 2023 #24 Nyuki Mdogo said: We nae una uandishi mbovu kishenz hivi huwa hujishtukii? Click to expand... Unapanik vibaya sivabaya kuonekana ujui
Nyuki Mdogo said: We nae una uandishi mbovu kishenz hivi huwa hujishtukii? Click to expand... Unapanik vibaya sivabaya kuonekana ujui
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,099 Reaction score 25,347 Aug 6, 2023 #25 Wewe ndo unatupiga na kitu kizito. Kwani ulipiga picha wewe ama?!
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Aug 6, 2023 #26 Nyuki Mdogo said: Dar wana afadhali, mi niko huku Bariadi karibu na Gambosh kwao na Kiranga asiyeamini Dini wala uchawi Click to expand... Kwanza Bariadi si kwetu. Pili, mimi ni zaidi ya mtu asiyeamini dini wala uchawi. Do not let that define me.
Nyuki Mdogo said: Dar wana afadhali, mi niko huku Bariadi karibu na Gambosh kwao na Kiranga asiyeamini Dini wala uchawi Click to expand... Kwanza Bariadi si kwetu. Pili, mimi ni zaidi ya mtu asiyeamini dini wala uchawi. Do not let that define me.
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Aug 6, 2023 #27 Nyuki Mdogo said: Mniambie kwa kina nisije kuwa nimepigwa na kitu kizito. Ni kweli kuna nchi ina majengo marefu kiasi kwamba yapite usawa wa Mawingu😅😅 Kuna watu wanamchokoza Mungu, tusije letewa yale yale ya mnara wa BabeliView attachment 2709839 Click to expand... Yalipo Makao Makuu ya DP World
Nyuki Mdogo said: Mniambie kwa kina nisije kuwa nimepigwa na kitu kizito. Ni kweli kuna nchi ina majengo marefu kiasi kwamba yapite usawa wa Mawingu😅😅 Kuna watu wanamchokoza Mungu, tusije letewa yale yale ya mnara wa BabeliView attachment 2709839 Click to expand... Yalipo Makao Makuu ya DP World