Hii ni nini wandugu???

Hii ni nini wandugu???

Aghalabu hiyo hutokea unapoanza kuvaa kondom na kama uko allergic na kondom kama mimi. Kinyume na hapo hilo ni TATIZO!
 
1.INAONYESHA MAPENZI YAMEPUNGUA KWAKE.
2.MUULIZE VIZURI JE NI MKE WA MTU?
3.KABLA YA MECHI PUMNZIKA,MAZOEZI, KAZI NGUMU PUNGUZA.
4.USISAHAU KUTUMIA ILE SEX DIET
5. ASUBUHI PIGA CHAI YA UHAKIKA,MCHANA SHIBA SANA JIONI PIA SHINDILIA KIUHAKIKA..POTELEA MBALI UVIMBIWE,JIONI UKIINGIA ULINGOZI UTASHINDWA KUMTULIZA.....ABDALA KICHWA WAZI
6.MALARIA,PRESSURE......HUSABABISHA HAYO,YULE JAMAA HUWA ANAJAA DAMU ZAIDI KULIKO INAVYOPUNGUA...KWA AJILI HIYO,KUKIWA NA MATATIZO YA USUKUMAJI WA DAMU.........ATALALA GHAFLA
7.UNAMUAMINI SHEM? MCHEKI KICHWANI KAMA AMEWEKA PINI......UTAKESHA.
8.Naaaaa aaah yanatosha hayo...NILIKUWEPO.

hiyo sex diet ni ipi mwaya???
 
Pole sana kwa masahibu yanayokupata. Bila shaka hali hiyo inakuumiza sana kichwa. Mi nadhani hali hii inachangiwa na mlundikano wa mawazo juu ya jambo fulani linalokusumbua. Tendo la ndoa ni tendo linalohitaji utulivu wa ubongo. Kama ujuavyo ubongo ndiyo unao'control' mambo mengi katika mwili. Jaribu kufikiri, unapomuona msichana mzuri mbele yako ikiwa utauwazia urembo wake ubongo uta'respond' kwa kupeleka damu katika uume wako hivyo utasimama vivyo ukihamishia mawazo yako katika kitu kingine uume utaanza kusinyaa taratibu. Inawezekana unahofu juu ya kitu fulani labda unahofia kupata/kumpa mpenzi wako huyo HIV. Hii itapelekea uume wako kuto'function' sawasawa. Kama ndivyo, chukua hatua kuondokana na hofu na msongo wa mawazo. Nenda kapime wewe pamoja na mpenzi wako. Usijihusishe na tendo la ndoa kama si mwanandoa na kama ukishindwa basi tumia condom. Jiamini wakati wa tendo la ndoa. Nakutakia mafanikia mema.
 
Nipo na demu wangu hii sasa mara ya pili kutokea! tukiwa 6x6 twacheza cheza jamaa anakuwa kadumu ile mbaya, nikitaka kuogelea jamaa anasinyaa ghafla!!! mwanzoni jamaa alikuwa anadumu toka tu demu anavua hadi tunamaliza mchezo na mara ingine baada ya muda si mrefu anadumu tena na hii si muda mrefu ni kama miezi 6 ilopita. Hali hii inanifanya nijisikie vibaya sana na kuwa mdogo sana! naomba mnaojua sbb mniokolee uhusiano wangu jamani.NIFANYEJE NIWEZE MAINTAIN??

itakua mke w m2 huyo baab ki2mbua kimerogwa hicho.jaribu kwingine
 
Dogo inabidi uanze kupeleka tungi ili uongeze uwezo wa kuzuia mastress yako yasikuharibie starehe. Gonga nyagi, whiskey au mpigie nyasi utakua na uhakika wa nje-ndani zisizopungua 5,000 kabla ya bao. Kama ukijaribu vyote hivyo afu bado tarimbo lako laendelea kuwa doro, nakushauri uende Bagamoyo- hiyo ngoma inaweza ikawa na mwenyewe na ameilock, inahitaji PIN.
 
Duh! Mkubwa hivi vinywaji si ndiyo vyaweza niongezea stress kweli!!!?? Hii ngoma ni yangu mwenyewe nina uhakika na hajaolewa na nina uhakika siyo mke wa mtu!
 
Mkuu Tall am still waiting for your PM regarding this: 7.UNAMUAMINI SHEM? MCHEKI KICHWANI KAMA AMEWEKA PINI......UTAKESHA pls nifafanulie hii maneno.
 
2mia supu ya pweza mfululizo kama wiki, plus juis ya tende, ukiwa huna matatizo mwilini na utaiweza mikiki ya juisi ya kitunguu swaumu pia test, halafu utanipa majibu mzee
 
Kapime hospitali,ujue afya yako!usije ukawa punga bure!!!!!!!!!!!
 
UNAMUAMINI SHEM? MCHEKI KICHWANI KAMA AMEWEKA PINI......UTAKESHA.

Zipo habari ambazo hazijathibitishwa kisayansi kuwa kama mwenzako akifunga pini katika nguo yake au kichwani mwake au akiweka kijiti/tooth pick kichwani mwake, basi mzee abdallah kichwa wazi hawezi kufurukuta, anakuwa mdogo kama piritoni. Baadhi ya akina dada huwafanyia makusudi wanaume ili kuwakomoa.

NOTE: this situation is not scientifically proved.

Paka pilipili kwenye kichwa

Acha ujinga dogo, mwenzio anahitaji msaada wee unaleta utani!!
 
Zipo habari ambazo hazijathibitishwa kisayansi kuwa kama mwenzako akifunga pini katika nguo yake au kichwani mwake au akiweka kijiti/tooth pick kichwani mwake, basi mzee abdallah kichwa wazi hawezi kufurukuta, anakuwa mdogo kama piritoni. Baadhi ya akina dada huwafanyia makusudi wanaume ili kuwakomoa.

NOTE: this situation is not scientifically proved.

Duh! Mkuu hii ndiyo nasikia! pengine labda ina ukweli! na vipi je akiwa amesuka mabutu na kuyafunga vishungi shungi hivi?????
 
Huwenda demu wako amekumbwa na jini mahaba, halitaki umchakachue! Je ulisha test kwa yule demu wako mwingine na mambo yanakuwaje?
 
Back
Top Bottom