Hii ni Noma, Yaani Hata Akipritendi, Utamjua tuu

Hii ni Noma, Yaani Hata Akipritendi, Utamjua tuu

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Ukitaka kujua rangirangi halisi za Bi Harusi
kitabia,hata kama amekuwa akipritendi na kuongea
kama Shemasi wa Parokia ya Mabibo Farasi we
angalia ule muda ambao MC amewaita "MARAFIKI
WA BI HARUSI" ili waje mbele kuleta zawadi kwa
mwenzao anayefanyiwa Send Off siku hiyo...WOYOOO,Utashangaa wameinuka
Misambinungwa wawili hawaeleweki-ele
weki,wanakuja mbele wanakatika nakwambia huku
wanamwaga Shombo,halula halula za kutosha,"Haloo
halooo mlisema haolewi kiko wapiiii,mjini
hapaaaa,mjini mipango babu weee,halulahh mtakufa nalo hilo babuuuu",Yaani vitapigwa vijembe
hapo,Michambo ya haja,Send Off inageuka Msuto na
Mahashuo ya haja,hapo Bwana Harusi umetulia na
Shati lako la Kitenge unajiuliza mbona hawa "Marafiki
wa Bi Harusi" hawaendani kabisaaaa na mkeo
mtarajiwa MY DEAR FRIEND,Kama ulikuwa hujui hilo ni trela tu Umelipia Mahari Baikoko,subiri uingie
ndani,kila kitu utakuwa unasutwa..Usipomfikisha
kileleni MSUTO...Usipotoa hela ya Shopping
MSUTO...Ukifulia ndo utasutwa mpaka ushindwe
kudindisha Wiki 2
 
Back
Top Bottom